Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

Kichwani umejaza maboga
unaweza ukasema hivyo, kwa sababu ulivyomaliza shule ya msingi ukadhani umemaliza chuo kikuu na hivyo rhetorics huwezi ukazielewa. wenye ufahamu wameelewa
 
Sio jipya hili.. ni shemu ya maigizo yao.

CCM ni wasanii sana
 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura.

Katika mkutano huo pia umeridhia Makamu Mwenyekiti anayemaliza muda wake Ndugu Abdulrahman Kinana kugombea tena miaka 5.

View attachment 2437764
Sema ni m/kiti mteule...imekwisha hiyo
 
Kwenye watu milion 60 majina 200 yatapigiwa kura,kwenye watu million 2 majina 123 yatapigiwa kura.
Hivi kwa nini Zanzibar isiwe mkoa ?
Yaani Nyerere alizidiwa akili na Karume kwa kweli.Si kwa muungano wa usio na uwiiano kabisa.
Kwa muungano huu ulivyo mnufaika mkubwa ni Zanzibar ila wamefanikiwa kulinda nafasi yao ya kuinyonya Tanganyika kwa staili yao ya kulalamika kuwa wao ndio wasionufaika na muungqno.
 
Kwenye watu milion 60 majina 200 yatapigiwa kura,kwenye watu million 2 majina 123 yatapigiwa kura.
Hivi kwa nini Zanzibar isiwe mkoa ?
Yaani Nyerere alizidiwa akili na Karume kwa kweli.Si kwa muungano wa usio na uwiiano kabisa.
Zanzibar haiwi mkoa kwa sababu hatutaki mfumo wa serikali moja. Wanabembelezwa.
 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura.

Katika mkutano huo pia umeridhia Makamu Mwenyekiti anayemaliza muda wake Ndugu Abdulrahman Kinana kugombea tena miaka 5.

View attachment 2437764
wameteuliwa wangapi kugombea hio nafas
 
Hakika mama ameikamata nchi, anakubalika ,anapendwa, na Sasa anakisuka chama akiyaondoa magugu na kuweka ngano.

Viva mama viva.
Hatujamaliza CCM .... Mlete Samia....Mlete Samia.....Mlete Samia
nchi ya mashoga ya ccm kule lumumba ndio ameikamata
 
Hakika Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa Anastahili kupewa na kupigiwa kura za Ndio zote Kama shukurani na Asante kwa kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kulitumikia Taifa letu,Anastahili kupewa kura zote za Ndio Kama sehemu ya kumpa faraja na kumtia moyo wa kusonga mbele katika mapambano ya kuwatumikia watanzania,Anastahili Kura zote za Ndio Kama sehemu ya kumpongeza kwa utumishi wake uliotukuka aliouonyesha ndani ya muda mfupi.

Apewe Kura zote za Ndio maana Anastahili kutokana na kujitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania, Hana muda wa kupumzika na familia yake,kwake yeye watanzania ndio familia yake,ndio watoto wake ,ndio anaowahangaikia na kuwatafutia chakula muda wote.
 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura.

Katika mkutano huo pia umeridhia Makamu Mwenyekiti anayemaliza muda wake Ndugu Abdulrahman Kinana kugombea tena miaka 5.

View attachment 2437764
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom