Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

Kwenye watu milion 60 majina 200 yatapigiwa kura,kwenye watu million 2 majina 123 yatapigiwa kura.
Hivi kwa nini Zanzibar isiwe mkoa ?
Yaani Nyerere alizidiwa akili na Karume kwa kweli.Si kwa muungano wa usio na uwiiano kabisa.
Jana Ujerumani (population 78million) walicheza World Cup ba time ta Qatar (watu laki 8). Kila timu ilikuwa na Golikipa mmoja haijalishi nyiye mko wangapi. Karume na Nyerere walikuwa ndiyo Golikipa kwenye mechi hiyo tar 26 Apr 1964 kila moja akilinda golf lake. Huu ni mwaka w 78 bado metchi inadunda Wasaliti wako nje.
 
Kongole kwake, ataupiga mwingi 2027
 
Havihusiani. Nchi gani inazidiwa popolation na mkoa wa Dar?It does not make sense.
 
Hiyo sio habari, mwenyekiti wa CCM huwa anachaguliwa automatically wala sio kwa uwezo, bali cheo chake cha urais.
 
Havihusiani. Nchi gani inazidiwa popolation na mkoa wa Dar?It does not make sense.
Mkoa wa Dar una watu wengi kuliko Denmark, Finland, Belgium, Norway, Botswana, Latvia, na Lithuania. Upo hapo?
 
Chama kimepoteza mwelekeo

Rushwa ilivgokithiri chaguzi za chini huko haiyumkiniki hata Taifa nako mambo ni yaleyale
 
katiba inaruhusu rais anayetokana na ccm asiwe mwenyekiti wa ccm?.....mbona mnafanya kimchezo cha mazingaombwe??!!😀😀😀

Katiba inaruhusu, ila CCM wanaogopa mwenyekiti wa CCM asipokuwa rais watakosa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Hiyo sio habari, mwenyekiti wa CCM huwa anachaguliwa automatically wala sio kwa uwezo, bali cheo chake cha urais.
Ni sawa ni kusema kuwa Mo huwa anakula chakula chake automatically kwa sababu ya hela zake alizonazo. Embu soma Katiba ya ACT Wazalendo: mtu anayeitwa Leader otomatically ndiyo Rais wakishinda. Waarabu walifikiri wamemnunua zittokabwe kunde hilo hawakuliona.
 
Chama kimepoteza mwelekeo

Rushwa ilivgokithiri chaguzi za chini huko haiyumkiniki hata Taifa nako mambo ni yaleyale

Huko ndio kuna rushwa ya hatari, hizi pesa za mabehewa ya treni ndio zimeingizwa huko.
 
Irrelevant.
 
Kwenye watu milion 60 majina 200 yatapigiwa kura,kwenye watu million 2 majina 123 yatapigiwa kura.
Hivi kwa nini Zanzibar isiwe mkoa ?
Yaani Nyerere alizidiwa akili na Karume kwa kweli.Si kwa muungano wa usio na uwiiano kabisa.
Mtazoea tuu ! Hata wao pia waliulalamikia sana muungano huu lakini sasa wameuzoea sasa hawalalamiki tena !! 😅😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…