Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimemwona hapo "tundu lissu" anaruka-ruka hapo kwenye banda!
😊😊😊😊😊
 
Simba ni mnyama mwenye makeke mengi ya kutisha, ila hikma ya Mwanadamu huweza kumdhibiti na kumfungia kwenye kizimba na akabaki anabweka kwa mazoea ya kuhisi yupo porini kumbe kafungiwa kizimbani.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo tarehe 24 Agosti, 2024.

Wakati anatembelea mabanda ya wanyama alifika kwenye banda moja la Simba dume aliyekuwa anaunguruma kwa ukali, akauliza kama amepewa jina na baada ya kujibiwa kuwa hana jina alisema wampe jina la Tundu Lissu.

Hii ina maana gani wadau?

Your browser is not able to display this video.
 
Ina maanisha kwamba amewaagizaa Simba aitwe Tundu Lissu.
 
Kabisa, anafaa kufugwa tu, na huwa anatembea bila mavazi, na hana utashi wa kibinadamu, bora hata kondoo huwa anafunika kule sehemu ya rivasi.

Lissu na yeye awekwe bandani kama huyo simba, na simba mwenyewe ana wenge kama Lissu
Una uhakika Mkuu kuwa leo umekumbuka kumeza Vidonge vyako ulivyopewa kutoka Milembe au umesahau umeze?
 
Huyo simba ni wamemtoa mbugani wiki hihiii maana hajatulia kabisa
 
Hela za Watanganyika zinateketea mtu katoka Zimbabwe kaenda Kizimkazi halafu katoka Kizimkazi kaenda Msata kisha Karudi Kizimkazi lakini hela za kuhudumia watoto,mama wajawazito na wazee mahospitalini tunaambiwa serikali haina uwezo.
 
Dah nilitaka kupanic nikajua kasema timu ya Simba iitwe Tundu Lissu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…