Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapo akina Nyoka, Nguruwe, Mbawala, ...imezoeleka kuchukua jina la mnyama kwakuwa wanyama wote wanashare, shida inakuja umegawa jina la mtu kwa mnyama bila ridhaa yake, mtu mwenyewe ni mwanasheria, tena mwanasheria machachari, lazima azue mtiti, utamsikia reaction yake
Tena katumia fullname
 
A caged lion is useless,

That's not a good sign or name.
 
Huyo simba anahangaika haingaika bila msingi wowote sidhani kama kuna wema inaweza kuwa kijembe mmemwona huyo simba hatulii kama paka wa mtaani.

Anyway Chadema mbele kwa mbele
 
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Mbona chui hajabatizwa
Unyanyapaa
 
Wayahudi walipopiga kelele Pontius Pilate akawaambia " Niliyoandika Nimeyaandika"

Na iwe hivyo kwa Tundu Antipas Lisu Simba wa Kizimkazi, Rais mtarajiwa wa JMT

Tundu Lisu: Nitakwenda kaburini kwa Shujaa Magufuli kuweka shada la mauwa

Mtanikumbuka 😀🌹🌹🌹
Ni Tundu Lisu huyu huyu anayetaka kuweka Shada kwenye kaburi la JPM au Mwingine. atakwenda kuweka
 
Tundu Lissu ni simba dume.
Ila hayo mabanda hayana ubora
 
Je, yeye mwenyewe Tundu Lissu ameridhia Jina lake kupewa huyo mnyama Simba?
Kama hajaridhia kabla, Je, hiyo haiwezi kuwa Defamation Case au suala linalowahusiana na mambo ya copyright dispute???
Jina halina copyright ndio maana Lisu humsema mama Abdul lakini hakuna mahali Mama Abdul yeyote aliyewahi jitokeza kusema ananisema mimi

Tundu Lusu laweza kuwa jina la yeyote binadamu ,ngedere,Simba,fisi au yeyote

Jina lake Lisu sio trade mark wala halijasilijiwa kwenye copy right

Mtu hata ukimwita mbwa wako Tundu Lisu hamna shida
 
Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Ni kweli atakumbukwa sana Kwa kuifilisi nchi.
 
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!

Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.

Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.

Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu.

Jionee.


imhotep hii si kwa ubaya. Kwa hakika si bure! 🤣
 
Back
Top Bottom