imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nyegere kwa Asali sio mchezo huwa mpaka anafia kwenye Mzinga😁Kwamba ni nyegere mlamba asali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyegere kwa Asali sio mchezo huwa mpaka anafia kwenye Mzinga😁Kwamba ni nyegere mlamba asali?
🤣👍Nyegere kwa Asali sio mchezo huwa mpaka anafia kwenye Mzinga😁
Simba ni Simba na hapo yupo aggressive anataka kula windo.... usifanye mchezo mkuu wa nchi kukufananisha na Simba!! Kiroho huyo bibi kajiharibia sana!Ni baada ya kuliza huyu simba mbona yupo hivi, ana tatizo gani... Na kuambiwa akiona watu ndiyo huaga hivyo...
Kamfananisha na Tundu Lissu...
Hahaha...
Cc: Mahondaw
Kiroho ikoje hii?Simba ni Simba na hapo yupo aggressive anataka kula windo.... usifanye mchezo mkuu wa nchi kukufananisha na Simba!! Kiroho huyo bibi kajiharibia sana!
SawaNi kweli atakumbukwa sana Kwa kuifilisi nchi.
Uhame unapakwenda wewe chawaHii nchi sihami wallah!
Hizo ndizo kejeli na laghai za rejareja ambazo zimekuwa njia zake kuu za udanganyifu.Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.
Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu.
Jionee.
Kuhusu kuhama au kubaki hilo sio shida wala hoja yangu... hoja ni Samia ambaye ni Chui jike leo katuambia Lissu ni Simba dume.Chukua maneno yangu, ni suala la muda tu, LISSU atahama CHADEMA, kwa aibu atashindwa kuhamia CCM, ila ataenda ACT na kwa mara ya kwanza ACT itapata zaidi ya vitano vya ubunge JMT kwenye uchaguzi ujao 2025
Mkuu, naona hujatambua janja ya huyu mama. Huyu anao utamaduni wa kule kwa wajomba zake. Anakuua huku akitabasamu.Kumwita mtu Simba si kejeli... amekiri udhaifu wake.
Huyo mama kwa akili yake hana ujanja wowote yupo kwenye panic mode.... njia zao za kumnasa Lissu zimekwama. Ukiangalia hyo Video kwa uharaka aliotumia kutamka hilo jina amini nakuambia kwenye akili yake huyo Lissu kajaa kwa 90%Mkuu, naona hujatambua janja ya huyu mama. Huyu anao utamaduni wa kule kwa wajomba zake. Anakuua huku akitabasamu.