Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
๐๐๐ Mama ana mazuri yake pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐
Miamba wengi duniani wakiongozwa na Yesu waliitwa Simba!!
Kwanza Zanzibar wametoa wapi wanyama, huo mkoa unaifilisi TanganyikaMachawa watasema hizo ndio 4R za mama.
Kwanza Zanzibar wametoa wapi wanyama, huo mkoa unaifilisi Tanganyika
Hao simbo huko kizimkazi wametoka wapi?
Labda ataitwa Nyegere au kwa Kiingereza Honey Badger yaani Nyegere mpenda Asali๐Ulizia ulizia huko vipi, mwamba hakuambulia jina hata la mnyama mmoja huko?
Yesu alipofika Pwani aliwaona makutano Akawahurumia na Kuwaponya Magonjwa yao
Simba Dume wa Kizimkazi ๐๐น
Labda ataitwa Nyegere au kwa Kiingereza Honey Badger yaani Nyegere mpenda Asali๐
Ametulia tu anagonga wine ๐๐Kwani Tundu Lisu ana maoni gani?
Rais hashtakiwi. Hiyo katiba mpya mtaipataje wakati hii ya sasa hamjui kilichoandikwa.Walishapanga na kukubaliana
Kama hawakukubaliana basi Jumatatu utasikia moto umewaka mahakamani