Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo Tundu nae mnafiki tu ye si ndio alikuwaga anasagia kunguni Magu
 
Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anamkubali sana Tundu Lissu ni vile tu anashindwa namna ya kumuingilia maana uwezo binafsi wa Lissu ni zaidi ya baraza lake lote la Mawaziri..
Mimi bado nasikitishwa sana na hawa viongozi wetu.
Kuwa na "mtu na nusu" kama Tundu Lissu kwenye Taifa lenu halafu hamumtumii "kitaifa/kinchi", ni matumizi mabovu sana ya rasilimali watu.
Mimi naamini kabisa Rais Samia anamjua Lissu vyema uwezo wake na anamu appreciate sana, sasa kutokumtumia kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi ndicho nisichoelewa kabisa.
 
Walishapanga na kukubaliana
Kama hawakukubaliana basi Jumatatu utasikia moto umewaka mahakamani
Hivi kumuita binadamu mwenzio kwa jina la mnyama yoyote kama punda mbwa fisi nk bila yeye kuridhia ni kosa?
 
Hivi kumuita binadamu mwenzio kwa jina la mnyama yoyote kama punda mbwa fisi nk bila yeye kuridhia ni kosa?
Wapo akina Nyoka, Nguruwe, Mbawala, ...imezoeleka kuchukua jina la mnyama kwakuwa wanyama wote wanashare, shida inakuja umegawa jina la mtu kwa mnyama bila ridhaa yake, mtu mwenyewe ni mwanasheria, tena mwanasheria machachari, lazima azue mtiti, utamsikia reaction yake
 
Kuna vitu nashindwa kabisa kuvielewa kuhusiana na hiyo nchi, yaani hayo maelezo kuhusiana na tabia za Wanyama wanajua huyo mtu wanayempatia ni nani? Wanajua kwamba huyo wanayempatia jayo maelezo ndiye sterling wa filam maarufu iliyoandaliwa kwa ajili ya kuvitangaza vivution vya kitalii Tanzania wakiwemo hao wanyama?
 
Tundu Lissu anatisha sna kama anakuwa sio upande wako. Ana msimamo na akili nyingi
 
Huyo Simba ana bahati mbaya sana maana kitakachofuata ni Risasi.
 
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…