Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
chadema walitaka madaraja na miradi mikubwa majina ya viongozi wao yawekwe haya zawadi hiyo apo kutoka kwa mama
 
Huyo mama kwa akili yake hana ujanja wowote yupo kwenye panic mode.... njia zao za kumnasa Lissu zimekwama. Ukiangalia hyo Video kwa uharaka aliotumia kutamka hilo jina amini nakuambia kwenye akili yake huyo Lissu kajaa kwa 90%
Mkuu 'Lusungo', usifikiri sikubaliani na wewe kuhusu ku-'panic' kwake na wenzake wote huko ndani ya CCM; hilo liko wazi muda mrefu sana.

Ninachoeleza hapa ni tofauti kidogo na hiyo hali yake ya ku-'panic'. Mtu anaye tapatapa ni lazima afanye kila linalowezekana kujinusuru.

Sasa hapa mawazo yetu tutayaweka kwenye huyo mama kummpachika jina Tundu Lissu, si kwa sababu tu anakiri udhaifu wake hadharani, lakini anatumia njia hiyo kumlainisha huyo "simba dume" kabla ya kumuingiza kwenye mitego iliyo pangwa.
 
Bimkubwa ameamua kuwahamisha kutoka Ngorongoro Hadi Tundu kuitwa Simba πŸ˜†πŸ˜†

Prof wa saisa za Tanzania πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kuhusu kuhama au kubaki hilo sio shida wala hoja yangu... hoja ni Samia ambaye ni Chui jike leo katuambia Lissu ni Simba dume.
Kwahiyo hoja yako inasimama kwenye msingi gani!? Au ulitaka na samia nae awe chui dume!?
 
Inawezekana ati !
Siasa sio uadui !
Siasa haina Adui wa kudumu wala Rafiki wa kudumu !! πŸ™πŸ˜…
Kabisa mkuu, mwanasiasa hata akikuambia kumekucha ni bora ufungue dirisha kuthibitisha kama kweli kumekucha. Chochote kinaweza kutokea kwa mwanasiasa.
 
Mama anamkubali sana Tundu Lissu. Ingekuwa haogopi kuuliwa na maCCM, angehamia CHADEMA.
 
Kwahiyo hoja yako inasimama kwenye msingi gani!? Au ulitaka na samia nae awe chui dume!?
mbona kama una hasira? Mi nimeripoti habari ya samia kumnasibisha Tundu Lissu na Simba unaniuliza natakaje? Natakaje nini?
 
Kwa mnyama ni tafsiri tofauti kidogo, ambayo ni kupewa matunzo/ kuzingatiwa. Uhuru kwa mnyama ni fursa tu ya kupata mahitaji yake.

Ova
Ndo maana wapo wa kufugwa na wa kua uhuru mwituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…