Kama ametoa rais basi ni hela yetu walipa kodiRais katoa hela mfukoni au kwenye bajeti gani ?
Tunataka kuendesha mambo kitaasisi, sio kwa huruma huruma ya Rais.
Jiue fukara wwRais katoa hela mfukoni au kwenye bajeti gani ?
Tunataka kuendesha mambo kitaasisi, sio kwa huruma huruma ya Rais.
Unataka kwa nani sasa!Mbona YY hajitoi na kuhudumia wenye uhitaji mpk anauza BANDARI?
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka Bandari yetu.
Asante
Tuwaulize nyie kipi hasa chawauma ikiwa bandari yenyewe ht haiwahusu!!Wewe kinachokuuma ni nini?.kwani hii nchi ya baba yako?
😁😀😂😃😅😆😆😂😂😃😃😃
sasa bandar ishauzwa fanya utakacho tukutoe utumboWewe kinachokuuma ni nini?.kwani hii nchi ya baba yako?
Ikulu haiwi audited. Wala Rais halipi kodi. Hakuna loophole kubwa ya kuchota hela kihalali kama ofisi ya Rais ikiwemo Usalama.Hapo kwenye auditing sijajua. Hivi ofisi ya raisi au ikulu huwa zinafanyiwa auditing?
Ushilole sjui magoli wanapewa mihela mingiHii nzuri. Amwongezee kama goli moja alinunua kwa million 10.
Ampe hata milion 5 cash.
Machawa kina Kitenge wanapewa mil.6 Kwa trip huyu anayefanya kazi ya maana anapewa milion 2?Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam.
Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari kuhusu Mariam na namna alivyosaidia watoto watatu waliotelekezwa na mama zao.
Samia ametuma ujumbe huo leo Jumatano, Julai 19, 2023 uliwasilishwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk Brayson Kiwelu ambaye amemkabidhi Mariam kiasi cha Sh2 milioni.
Dk Kiwelu amesema ujumbe huo umetumwa na Rais Samia ambaye amekuwa mstari wa mbele katika huduma za mama na mtoto.
"Rais ametoa Sh2 milioni fedha taslim kumpatia mama huyu kwa kujitoa kwake na amewapongeza viongozi wa Wizara ya Afya na Amana kwa ubunifu huu na uthubutu mama huyu kuwa sehemu yetu.
"Rais ameshukuru sana msaada ambao mama huyu ameutoa na amewataka Watanzania kuendelea kujitoa kwa ajili ya kuhudumia wale wenye uhitaji," amesema Dk Kiwelu.
Soma pia - Mwanamke Anayejitolea Kukumbatia Watoto Njiti Waliotelekezwa Hospitali ya Amana
Ni ajabu kweli. Maana kiuhalisia alitakiwa kununua hizo mashine za kutosha na kuhakikisha umeme au standby generator ipo muda wote.Ushilole sjui magoli wanapewa mihela mingi
Ova
Anaitwa Mariam Mwakabungu ni mke na mama wa watoto wawili, sasa sijaelewa lengo lako la kupingana nae maana ameeleza kila kitu kwamba alienda pale akaelezwa situation za watoto wale na akaomba awe anasaidia kuwakuza akakubariwa na uongozi wa hospital nahisi hivyo, nini shida mkuu wangekua hawamtambui si wangesema hawamtambui?Huyu Marium-watoto njiti
Mleta uzi ameandika kama vile wote tunajua hilo sakata..pua puaAnaitwa Mariam Mwakabungu ni mke na mama wa watoto wawili, sasa sijaelewa lengo lako la kupingana nae maana ameeleza kila kitu kwamba alienda pale akaelezwa situation za watoto wale na akaomba awe anasaidia kuwakuza akakubariwa na uongozi wa hospital nahisi hivyo, nini shida mkuu wangekua hawamtambui si wangesema hawamtambui?
✍️
Mkuu ,Ebu fikiria from no where ktk mazingira uliyopo ,uende hospital uwaambie unataka kuhudumia wagonjwa ,then wakuruhusu!Anaitwa Mariam Mwakabungu ni mke na mama wa watoto wawili, sasa sijaelewa lengo lako la kupingana nae maana ameeleza kila kitu kwamba alienda pale akaelezwa situation za watoto wale na akaomba awe anasaidia kuwakuza akakubariwa na uongozi wa hospital nahisi hivyo, nini shida mkuu wangekua hawamtambui si wangesema hawamtambui?
✍️