9thwonder
Senior Member
- Apr 9, 2017
- 125
- 83
[emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie UVCCM msitutoe kwenye reli kuhusu hoja za bandari. Sasa hivi tumestick kwenye hoja za mkataba wa kijambazi wa bandari zetu. Ni spana baada ya spana mpaka muite maji mma. Mmejimilikisha rasilimali za nchi utafikiri ni mali za familia zenu.Nyambafu!!!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam.
Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari kuhusu Mariam na namna alivyosaidia watoto watatu waliotelekezwa na mama zao.
Samia ametuma ujumbe huo leo Jumatano, Julai 19, 2023 uliwasilishwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk Brayson Kiwelu ambaye amemkabidhi Mariam kiasi cha Sh2 milioni.
Dk Kiwelu amesema ujumbe huo umetumwa na Rais Samia ambaye amekuwa mstari wa mbele katika huduma za mama na mtoto.
"Rais ametoa Sh2 milioni fedha taslim kumpatia mama huyu kwa kujitoa kwake na amewapongeza viongozi wa Wizara ya Afya na Amana kwa ubunifu huu na uthubutu mama huyu kuwa sehemu yetu.
"Rais ameshukuru sana msaada ambao mama huyu ameutoa na amewataka Watanzania kuendelea kujitoa kwa ajili ya kuhudumia wale wenye uhitaji," amesema Dk Kiwelu.
Soma pia
- Mwanamke Anayejitolea Kukumbatia Watoto Njiti Waliotelekezwa Hospitali ya Amana
- Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana
Watanzania tumeona rais katoa ndogo sana jamani tupewa namba ya huyo mama tumpe buku buku gafla atapata nyingiMagu alikuwa anatoa milionkumi na zaidi kwa Mambo Kama haya yeye anatoa hell ndogo Sana ika kwenye mamipira anatoa kubwa.