Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Mi nitachomwa moto na majivu yangu watapewa ndugu
Shauri yako, We are talking about spirit not physical body. Hilo li housing lako in form of majivu yaani (uchafu au mabaki) ndio watapewa ndugu zako hapo ni sawa na kutunza dustbin ndani. Ila shuluba ya roho iko pale pale.
 
Afadhali kula bata duniani kuliko upigike duniani na ukifa ukachomwe moto vile vile.
You sure don't want to end up in hell. You definitely don't want to be cast out of the presence of God.

Please think about it again!
 
Won't make the difference. Alipokuwa hai mikia mliikalia saizi mnapambana na kaburi nyie waandishi uchwara. Maandishi yenu ni masimango kwa watanzania.
Hujielewi wewe.bibilia iliandikwa yesu akiwa hai?
 
You sure don't want to end up in hell. You definitely don't want to be cast out of the presence of God.

Please think about it again!
Unaweza kula bata na ukatenda mema vile vile.
 
Shauri yako, We are talking about spirit not physical body. Hilo li housing lako in form of majivu yaani (uchafu au mabaki) ndio watapewa ndugu zako hapo ni sawa na kutunza dustbin ndani. Ila shuluba ya roho iko pale pale.
Kila mtu na imani yake mkuu
 
Kuna kizazi hawamjui....JSM....Makamu 1 we Rais na Waziri Mkuu JMT....long time Kitambo Enzi Mwinyi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…