Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

Ningekuwa na mamlaka kwa mkoa wa manyara barabara zinazohitaji kipaumbele ni
1.Karatu hadi mbulu
2.mbulu hadi Dongobesh
3.Dongobesh hadi haydom
4.haydom hadi Singida
5.dongobesh hadi Babati
Hizi barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami itasaidia sana mkoa wa manyara kuendelea kwa kasi ya 5G🔥🔥
 
Acheni acheni ufala..kwahiyo katoa kwenye mshahara wake au...
Inabidi tuache kutoa kodi zetu, sijui tunashukuru kwa kipi uchawa pro max, haya ndio anayaesma mzee Salim mwandishi wa habari mkongwe, yaani mambo mengine hata raisi mwenyewe wala hayajui, hela ya kutengeneza barabara inatoka kule bungeni, ambako ndio mipango kazi inapitishwa na wizara husika. Wasomi wetu hawajiamini ni kama hizo nafasi wanapewa kiupendeleo ndio maana wamefikia hapo.
 
Back
Top Bottom