Komaaa weee homa we sio Muiraqw wala mtu wa babatiwana Babati tutamkumbuka milele!
sawa homaKomaaa weee homa we sio Muiraqw wala mtu wa babati
Daqwayer amu ๐กsawa homa
Gwalo Ayo๐ฎwana Babati tutamkumbuka milele!
umedhihirisha we ni homa ๐Daqwayer amu ๐ก
Peleka komwe kwa bibi yenu hukoumedhihirisha we ni homa ๐
Inabidi tuache kutoa kodi zetu, sijui tunashukuru kwa kipi uchawa pro max, haya ndio anayaesma mzee Salim mwandishi wa habari mkongwe, yaani mambo mengine hata raisi mwenyewe wala hayajui, hela ya kutengeneza barabara inatoka kule bungeni, ambako ndio mipango kazi inapitishwa na wizara husika. Wasomi wetu hawajiamini ni kama hizo nafasi wanapewa kiupendeleo ndio maana wamefikia hapo.Acheni acheni ufala..kwahiyo katoa kwenye mshahara wake au...