Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
Hujui Mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maanaHapana, unaujua ukweli jinsi nchi Inavyofanya kazi. Rais ni overall na hawezi kamwe kutoa pesa Tena kiasi kikubwa hivyo bila kupitia kwenye mhimili husika
Michongo ikoje??!Ukisoma hii michango inayohusu hii mada unafikia kuona wazi kuwa Elimu inayotolewa nchini ina mapungufu.
Mbona serikali imerudi Dsm kitambo! Shida uko Denmark, kuna vitu huvioni.Wakati ndugu James Mbatia anaendelea kuropoka ,Serikali adhimu ya mh.SSH inaendeleza kazi iliyowashinda tawala nyingi nyuma juu ya kulijenga jiji la Dodoma.. ...
#Kazi Inaendelea kwa Kasi & Weledi zaidi 💪View attachment 2030850
Good Mama,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Kazi iendelee.Safi Sana
Kazi iendeleeKazi iendelee.
Tanzania imara,Moto FireRais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Samia katoa au serikali imetoa?!Comments zingine za ajabu sana.Hii sio hela yake binafsi mkuu.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Naumia kisigino!Unaumia nini?
Vyote vinamaana sawa, Tuchapeni kaziSamia katoa au serikali imetoa?!Comments zingine za ajabu sana.Hii sio hela yake binafsi mkuu.