Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

Tunazidi kufeli kila kukicha yaani Kuna shule hazina madarasa halafu tuna kazi ya kuenziana tu kweli Kama tz tumelogwa mchawi wetu yupo karibu Sana na sisi kuhakikisha hatufurukuti
Lakini si afadhali huyu anayejenga airport Musoma kuliko yule aliyeamua kujenga uwanja mkubwa kijijini kwao?
 
Lakini aliona uwanja wa kijijini kwake ni priority ukilinganisha na viwanja vingine vyote.

Marehemu Magufuli hakujenga uwanja wa ndege mpya mahali popote isipokuwa kijijini kwake. Maeneo mengi kulifanyika ukarabati tu lakini kijijini wake alijenga uwanja mkubwa mpya.
 
Lakini si afadhali huyu anayejenga airport Musoma kuliko yule aliyeamua kujenga uwanja mkubwa kijijini kwao?
Mkuu usione kidole ukasifu kuwa Kuna juhudi za kufukua wakati mwili mzima bado upo kwenye kifudi kidole ni Nini katika sehemu ya mwili mzima? Ndio mwanzo wao hawa wote ni watoto wa mama mmoja hivyo hakuna afadhali katika nafuu

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi
 
We kweli akili zako ziko ma ta koni,samia anaendelea kutoa fedha kuhenga hilo bwawa la nyerere na ameenda misri kwa nia hiyohiyo leo unasema anaupiga vita?
Hizo fedha katoa samia au serikali ndo imetoa
 

Aliyeanzisha huo mchakato ni jpm, mm sio shabiki yake lakn kwa hayo unayoyasema unamsingizia! Pamoja na mchakato huo wa uwanja aliwakumbuka kwa kumalizia hyo hsptl coz ilisahaulika, miradi ya maji mingi sana jpm ameanzisha mara, barabara za rami bunda vijiji na musoma vijijin zilianzia kwake, maboresho makubwa ya shule ya msingi mwisenge, now musoma mjini karbu kila mtaa una rami zote zimejengwa awamu ya tano! So kusema jpm alitenga Mara sio Kweli ni uongo.
 
Tunazidi kufeli kila kukicha yaani Kuna shule hazina madarasa halafu tuna kazi ya kuenziana tu kweli Kama tz tumelogwa mchawi wetu yupo karibu Sana na sisi kuhakikisha hatufurukuti
Uwanja wa ndege wa Musoma una tija katika uchumi wetu kuliko wa chato kwani Musoma ni jirani sana na mvuga kubwa ya Serengeti wageni/watalii wanasafiri umbali mrefu kutoka Kia/dar kwenda Serengeti..... Kikubwa ni wadau kuwekeza kwenye mahotel musoma mjini/, mugumu na bunda kama ilivyo karatu kwani sio watalii wote wanamudu gharama kubwa za hotel zilizo ndani ya mbuga
 
Daaah kweli Mama anachapa kazi aise duuuh,
 
mtateseka kwelikweli aise
 
Raisi wa Tanzania ni tajiri mkumbwa utasikia Raisi ametoa pesa kadha, Raisi ametoa, rais ametoa.... ajili za wanasiasa wanazijua wenyewe.
 
Yote haya yanatendekea mkuu
 
Hii mradi kanda ya ziwa tu,,mikoa ya mbeya iringa njombe songea ccm wanawaona mapimbi sana
Huu ni muda wa kuifuta ccm mikoa ya nyanda za juu
Utaifutaje wakati kura zipo kanda ya ziwa? Ccm ni rahisi kufutika ikikataliwa kanda ya ziwa sababu kura za kuwaweka hapo zipo huko...usishangae unapomuona kila mara anakimbilia huko.
 
Sidhani kama kuna ukweli kuwa anapinga,ana dira ile ile ya kuendeleza ila in her own style,in her own perception.Ukumbuke kila mtu lazima awe na mbinu zake katika uongozi sio kila kitu unachofanya kinakuwa copy n paste...
 
cheap
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…