Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
 
Kikao cha kupanga kuteka na kuua wakosoaji wa ufisadi na kuuzwa loliondo
 
Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
Acha maskhara weee....

Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama aigope ngoma ya "kadenge"?!! 😲😲

Maskhara hayo mkuu wangu
 
Habari ikiletwa na wewe sijui kwa nini huwa nahisi ni 🚮🚮🚮 sorry sijui kwa nini?
 
Asisahau kutoa maaagizo CHaDEMa washughulikiwe! Ikiwzekana wapotezwe kabisa tubaki ccm wenyewe na vyama pinzani pandikizi aka matawi yetu. Akisahau naomba mumkumbushe.
 
Chifu Hangaya anatosha sana tu....

Nchi ni zaidi ya siasa za mitandaoni na majukwaani......

#Nchi Kwanza😍

#UTAWALA HAUUZWI SOKONI
Ila unaweza kuokotwa kama embe chini ya mwembe pale utakapoweza kumtanguliza kiongozi wa juu Yako.
 
Asisahau kutoa maaagizo CHaDEMa washughulikiwe! Ikiwzekana wapotezwe kabisa tubaki ccm wenyewe na vyama pinzani pandikizi aka matawi yetu. Akisahau naomba mumkumbushe.
CCM hoyee!! hata mimi leo nashangaa nimeahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
 
Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
Wivu tu unaokusumbua hapo ulipo.
 
Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
Urais ni taasisi hata wwe ukiwekwa pale unaweza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…