mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kikao cha kupanga kuteka na kuua wakosoaji wa ufisadi na kuuzwa loliondoNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha maskhara weee....Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
🤣🤣Kesho polisi wote kububujikwa machozi
Habari ikiletwa na wewe sijui kwa nini huwa nahisi ni 🚮🚮🚮 sorry sijui kwa nini?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Asisahau kutoa maaagizo CHaDEMa washughulikiwe! Ikiwzekana wapotezwe kabisa tubaki ccm wenyewe na vyama pinzani pandikizi aka matawi yetu. Akisahau naomba mumkumbushe.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ila unaweza kuokotwa kama embe chini ya mwembe pale utakapoweza kumtanguliza kiongozi wa juu Yako.Chifu Hangaya anatosha sana tu....
Nchi ni zaidi ya siasa za mitandaoni na majukwaani......
#Nchi Kwanza😍
#UTAWALA HAUUZWI SOKONI
CCM hoyee!! hata mimi leo nashangaa nimeahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataAsisahau kutoa maaagizo CHaDEMa washughulikiwe! Ikiwzekana wapotezwe kabisa tubaki ccm wenyewe na vyama pinzani pandikizi aka matawi yetu. Akisahau naomba mumkumbushe.
Alitaka kuwazulumu wale Wayemen Nyumba wakamtemesha🤣kwenye picha pale kati namwona mtoto wa mfalme wa oman
Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.Alitaka kuwazulumu wale Wayemen Nyumba wakamtemesha🤣
Lete wewe .kwani nani kakuzuia wewe kuleta.Habari ikiletwa na wewe sijui kwa nini huwa nahisi ni 🚮🚮🚮 sorry sijui kwa nini?
Wivu tu unaokusumbua hapo ulipo.Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
Urais ni taasisi hata wwe ukiwekwa pale unaweza!!Mwepesiii sanaa amepandisha mihela kwenye byombo vyoote ulinzi anaogopa kivuli chakee.......hana jipya angepumzika tu hiyo ngoma haiwezi asilani anajidanganya na machawa wakee.....
Naongea Fact kama unamchawia host wako mimi hainihusu😆Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.
Kaa kwa kutulia hapo ulipoSehemu ya geti mmerekebisha
Ova
Pungaaaa.....Wivu tu unaokusumbua hapo ulipo.