Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo mimi sio mwanasiasa wala sipendi kujulihusisha nayo ila jpm ndio kiongozi alifanya mambo ya maendeleo yaliyoonekana kwa mda mfupi tu tangu tumepata uhuru , yule bwana alikua anania ya kufikisha taifa mahali pazuri .Acha ujinga. Wameona mama ameboresha kila kitu kilichoharibiwa na lile joka jpm. Nakuhakikishia jpm angekuwa rais mpaka leo nchi imeshapinduliwa siku nyingi au vikundi vya kigaidi vingekuwa vingi. Mama kaleta furaha. Sasa hivi vyombo vya habari vinaandika chochote na wameajiri watu kibao ambao walikuwa mtaani mfano tanzania daima imeajiri wati zaidi ya elfu 50 ambao bila samia wangekuwa wameshakufa nk
umesikia wapi PhD za heshima zikanunuliwa? Mradi unapewa kwa merit yako km kampuni. Omba hata wewe km una uwezo, au ulitaka hilo gati namba 2 aendeshe nani? Mmejaa maujinga tu na husdaHizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania.
India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2.
Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda.
Korea nao wameona mpenyo.
Hakuna tofauti sana na ma chief wa miaka hiyo ya nyuma walisifiwa nakupewa vizawadi zawadiHizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania.
India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2.
Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda.
Korea nao wameona mpenyo.
Alifirisi nchi. Hakuwa na kipaumbele kulingana na bajeti ya nchi. Huwezi kuendesha nchi as if bajeti ya nchi ni sawa na bajeti ya marekani ndo mana vyuma vilikuwa vimekaza kila sehemu na watu wamekufa wengi kwa stress ndo kuvunjika kwa sababu yakeJapo mimi sio mwanasiasa wala sipendi kujulihusisha nayo ila jpm ndio kiongozi alifanya mambo ya maendeleo yaliyoonekana kwa mda mfupi tu tangu tumepata uhuru , yule bwana alikua anania ya kufikisha taifa mahali pazuri .
Kipindi chake nilikaa kenya 🇰🇪 kama miezi 6 iv niliona kasi ya huyo bwana ya maendeleo mpaka majirani walikua wanaihofia .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SecretaryUkiwa hujasoma, unaona PhD za bure ni kitu kikubwa sana. Ndo kinachoendelea sasa
Basi aliyefaa kupewa hiyo PhD ni Makonda.Amemteua Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Bado hamjasema Hadi msemeHizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania.
India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2.
Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda.
Korea nao wameona mpenyo.
Kweli kabisa. Ni mtulivu kwenye kukopa na makini kwenye kuuza bandari.HUYU MAMA NAPENDA SANA UTULIVU WAKE
NI MAKINI AJABU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.
View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.
View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea
Udaktari wa kupewa kama msukuma inakuwaje Dr wa Dr?. Huyo anatoshana na Dr Babu Tale.Atakuwa Dr wa ma Dr wote Tanzania.