Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Matumizi ya maneno Simba ya Yuda yasiwe ni nongwa ya kuonyesha hasira yako kwa SSH.

JPM aliwaambia watu kama hawana nauli ya kulipa pale Kivukoni wapige mbizi, na yeye ulimuanzishia uzi kama huu wa kumsema vibaya

Matumizi ya maneno Simba ya Yuda yasiwe ni nongwa ya kuonyesha hasira yako kwa SSH.

JPM aliwaambia watu kama hawana nauli ya kulipa pale Kivukoni wapige mbizi, na yeye ulimuanzishia uzi kama huu wa kumsema vibaya?.
Ni nongwa. Hapa kalinganishwa Simba wa Yuda mwenye mamlaka ya kufunguo kitabu cha hukumu chenye mihuri saba. Usicheze na jina la Yesu. Simba wa Yuda.
 
Tafuta aka ya Marehemu Rashidi Kawawa ndo utajua
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Hata Mwina Kaduguda mmoja wa viongozi wa Simba Sports Club huwa anajiita Simba wa Yuda.

Victoire Usichukue kila kitu serious kihivyo
 
Kaka Mama Samia lengo lake ni kuonesha Magufuli alikuwa mkali kwa watumishi wa serikali yaani kama Simba hivyo hapo mama hata hamfananishi na Yesu. Kwakuwa kwa wakristo kiimani Simba wa Yuda ni Yesu basi mumsamehe mama yetu wala hakujua na ana nia hiyo kabisa ya kumkera mtu. Kila kitu ni nia ya mtu...usimuhukumu muhim kumjuza kuwa ktk imani ya kikiristo si sawa. Basi. Na yeye mstaarabu ataelewa. Hana nia mbaya.
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.

Basi tumwite panya wa Yuda.

Hapo Sasa!
 
Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.

Basi tumwite panya wa Yuda.

Hapo Sasa!
Kosa la mtu mmoja au jamii flan alihalishi wote ni wachafu...

Ni kama tukisema wa masheikh wabakaji na walawiti.. Haimaanishi wote ni wabakaji au walawiti.. Au tunavyosema wanawake wanapenda ela... Hatuwez halalisha wote wanapenda ela..

Wewe ni msomi ila dini inakufanya kuwa mjinga wa kufikiri...
 
Hizo ni fasihi tu.. Mtu wowote anawezwa kuitwa.. Tusikaze ubongo kwa dini za wenzetu... Ambazo tumeletewa ...
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
 
Hakuna anayekataa kwamba Rais Samia anaponyesha majeraha yaliyoletwa na awamu zilizopita hususani ya tano lakini Simba wa Yuda si jina la kumfananisha na mwanadamu.
Mybe hajui ila alitaka apeleke ujumbe kwa jamii na umefika, hiyo inatosha
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mbona Haille Selasie aliitwa simba wa Yuda.
 
Lakini hii haimaanishi kwamba akikosea asiambiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…