Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Dah nchi ngumu hii, mambo yako speed na hayaeleweki,, binadamu si wa kumuamini, 🤤
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Wakristu tuna Yuda, mtoto wa tatu wa Yakobo, lakini concept ya Simba wa Yuda au hata simba tu hatuna. Simba wa Yuda ni Mfalme Haille Selassie, kwa mapokeo.
 
Habari ya chato?
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
 
Msiwe myopi
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Hakuna mwenye hatimiliki ya vitabu vya Mungu.
Mmeshindwa hoja sasa mwataka kuingiza udini.
 
Wacha kumfananisha Kiumbe mtukufu kuliko Kiumbe chengine chochote Duniani na mambo ya kijingw
Huyu aliyetokewa na shetani pangoni akapigwa makofi? Kwanza ni mbakaji angekuwepo angekula mvua ya maiaka 30! Hakuna mtume mzinzi kama huyo!
 
Eti huyo alikuwa makamu wake ! Khaaa maajabu hayataisha duniani
 
yuda ni moja ya makabila 12 ya waisrael
mama kama hajui asipepende kuropoka siku nyingine ataropoka baya zaidi

Hivi ni wapi imeandikwa Simba wa Judah ni Yesu??!!
 
Back
Top Bottom