Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Ndo atumie imani za wenzake? si atumie Quran!Alikuwa anampiga dongo JPM. Ni mambo ya kawaida kwenye siasa.
Angetumia the so called Mtume S.A.W
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo atumie imani za wenzake? si atumie Quran!Alikuwa anampiga dongo JPM. Ni mambo ya kawaida kwenye siasa.
Angemwita basi Mtume S.A.W kama ni swala dogoAmpige dongo ila asimwite Simba wa Yuda.Angemweta hata Simba wa Burigi.
Acha mtusi rafiki, imani ya mtu usiidharuSasa Mbona huyo Yesu hapo mnamfanisha na "Mnyama Simba"--- kipi bora Yesu afananishwe na mtu au afananishwe na mnyama wa porini??!😀
Wakristu tuna Yuda, mtoto wa tatu wa Yakobo, lakini concept ya Simba wa Yuda au hata simba tu hatuna. Simba wa Yuda ni Mfalme Haille Selassie, kwa mapokeo.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Wacha ubaradhuli!Wakristo hatuna hayo mambo ya kushughulikia kimwili. Kama amekosea, Mungu atashughulika nae. Maswala ya vurugu tunawaachia wenye dini nyingine.
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Wacha kumfananisha Kiumbe mtukufu kuliko Kiumbe chengine chochote Duniani na mambo ya kijingwAngemuita muhamadi s.w
Kawawa aliitwa Simba wa Yuda miaka ya awamu ya kwanza, au mkuu Markp ulikuwa bado hujazaliwa?.
Hata mashoga na WASAGAJI walimchukia kweli mwendazake
Usiogope.
Bwana Yesu KRISTO atajitetea mwenyewe.
Bac ni mkuu wa malaika.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Hayapiti, yanajichusanya...hamna litakalo pita kirahisi tu.Hatimaye Nalo hili litapita Kama mengine
Hakuna mwenye hatimiliki ya vitabu vya Mungu.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Huyu aliyetokewa na shetani pangoni akapigwa makofi? Kwanza ni mbakaji angekuwepo angekula mvua ya maiaka 30! Hakuna mtume mzinzi kama huyo!Wacha kumfananisha Kiumbe mtukufu kuliko Kiumbe chengine chochote Duniani na mambo ya kijingw
yuda ni moja ya makabila 12 ya waisrael
mama kama hajui asipepende kuropoka siku nyingine ataropoka baya zaidi