Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

Zile zama za kukimbilia Tv kila ifikapo saa 2 kumtazama Mwendazake akiongea kwa sauti ya mamlaka zimekwisha.. huyu hana hata mvuto anaongea km Mama muuza Wanzuki huku akirembua macho km wale wadada wa Kimboka..
Huwezi kuangalia mipasho kama una akili timamu, hakuna jambo la maana amefanya zaidi ya kutengeneza chawa na kuiba mali za umma.
 
Sjui kwann siwezo kwenda kwenye mikusanyiko kama hio ya kisiasa.
 
Acha uongo bana!!!
Yani sisimizi akose pa kupitisha mguu wake kisa watu wamejaa
Kujaa huko kujaa gani!!!
 
Daah hv umelpwa shngap kwa tangazo lefu hvo..?

Anyway..
nan kama mama..
Mitano tena
 
Zile zama za kukimbilia Tv kila ifikapo saa 2 kumtazama Mwendazake akiongea kwa sauti ya mamlaka zimekwisha.. huyu hana hata mvuto anaongea km Mama muuza Wanzuki huku akirembua macho km wale wadada wa Kimboka..
Mfato Chato ukamsikilize vizr anavyokula mijeledi huko
 
Wengi wamekuja kuangalia burudani ya Bure ya muziki kutoka Kwa kina diamond, Zuchu na mboso
 
Mbona una chuki naye aliwahi kumtia mimba mama yako akamtelekeza ?
Hujui kwamba alimtia mimba shemeji yake?
Lile lilikuwa ni shetani halisi kabisa!!
Ashukuriwe sn Mungu kutuondoshea balaa lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…