Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shida katolewa kafara na wazazi wakeWewe ubongo wako umechanganyika na haja kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida katolewa kafara na wazazi wakeWewe ubongo wako umechanganyika na haja kubwa.
Huwezi kuangalia mipasho kama una akili timamu, hakuna jambo la maana amefanya zaidi ya kutengeneza chawa na kuiba mali za umma.Zile zama za kukimbilia Tv kila ifikapo saa 2 kumtazama Mwendazake akiongea kwa sauti ya mamlaka zimekwisha.. huyu hana hata mvuto anaongea km Mama muuza Wanzuki huku akirembua macho km wale wadada wa Kimboka..
Acha uongo bana!!!Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.
Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.
Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.
Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.
Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.
Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.View attachment 3253029View attachment 3253121View attachment 3253122View attachment 3253123View attachment 3253125
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu walijaa mpaka ilikuwa ngumu kwa mtu kunywa maji tu.Acha uongo bana!!!
Yani sisimizi akose pa kupitisha mguu wake kisa watu wamejaa
Kujaa huko kujaa gani!!!
HeheheWatu walijaa mpaka ilikuwa ngumu kwa mtu kunywa maji tu.
Kazi za Mama zinaonekana Machoni pa watanzania na ndio Maana wanafurika kwa wingi sana kila afanyapo ziara mahali popote pale hapa Nchini.Daah hv umelpwa shngap kwa tangazo lefu hvo..?
Anyway..
nan kama mama..
Mitano tena
MITANO TENAKazi za Mama zinaonekana Machoni pa watanzania na ndio Maana wanafurika kwa wingi sana kila afanyapo ziara mahali popote pale hapa Nchini.
Mfato Chato ukamsikilize vizr anavyokula mijeledi hukoZile zama za kukimbilia Tv kila ifikapo saa 2 kumtazama Mwendazake akiongea kwa sauti ya mamlaka zimekwisha.. huyu hana hata mvuto anaongea km Mama muuza Wanzuki huku akirembua macho km wale wadada wa Kimboka..
Wengi wamekuja kuangalia burudani ya Bure ya muziki kutoka Kwa kina diamond, Zuchu na mbosoNdugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.
Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata kidogo. Ni mtu na nusu, Ni mtu wa watu ,ni kipenzi cha watu, ni tumaini la watu, ni furaha ya watu, ni tiba kwa wenye huzuni na Ni Chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Haijawahi kutokea mkoa ukafungwa na kusimama kwa shughuli zote na watu wote kuisha majumbani na kukimbilia uwanjani kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais na Mkuu wa Nchi.
Lakini Leo watanzania wameshuhudia watu wakifurika na kumiminika uwanjani hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kusogeze mguu wake kupata kupita na kusonga mbele. Watu wamejaa utafikiri walivutwa kwa Sumaku. Huwezi ukainua mguu wako na kusogeza pembeni.maana ni mguu kwa mguu na hakuna nafasi ya kujisogeza mwili wako.
Hii yote ni kwa kuwa Rais Samia amegusa Maisha ya watanzania,ameleta matumaini, amewezesha Watanzania kutimiza ndoto zao ,ameleta nuru na tabasamu katika nyuso za watu,ameponya mioyo ya wengi na kuwafuta machozi wengi. Amekuwa mfariji wa watu na mkono wake umemfikia kila mtu na jicho lake ni kama La Tai lenye uwezo wa kuona kila mahali na kumfikia kila mmoja mwenye mahitaji ya kupata Msaada wa Rais.
Amekuwa ni Rais Mwenye usikivu na masikio yake yamesikiliza sauti za kila mtanzania na kila kundi. Kinywa chake kinazungumza yawahusuyo na kuwagusa watu. Amekuwa ni mwenye uchungu na maisha ya watu. Ndio sababu watu wanafurika na kumiminika kumlaki na kumpokea kama Sehemu ya kumuunga mkono na kusema asante mama kwa utumishi wako uliotukuka na tupo tayari kwa utumishi wako kwa muhula wa pili.
Kwa hakika wanadamu tuna mambo na vitu vingi sana vya kumuomba Mungu. Lakini kikubwa ni kuwa kama una hekima na busara za kutosha Basi wewe Omba Mungu akupe kibali na kukustahilisha kwa watu. Rais Samia kwa hakika amepewa kibali cha uongozi na Mungu Mwenyewe. Ameinuliwa kwa ajili ya kuongoza Taifa hili.View attachment 3253029View attachment 3253121View attachment 3253122View attachment 3253123View attachment 3253125
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona una chuki naye aliwahi kumtia mimba mama yako akamtelekeza ?Mfato Chato ukamsikilize vizr anavyokula mijeledi huko
Hujui kwamba alimtia mimba shemeji yake?Mbona una chuki naye aliwahi kumtia mimba mama yako akamtelekeza ?
Hasira haziuzwi, ukiamua kuwa nazo unazipata. Unapouliza hasira za nini kwani umeuziwa ama kupewa bure? Labda kama umewashwa tu kuulizaHasira za nini sasa?
Lile jitu lilimtia mimba shemeji yake. Bila Mungu sijui tungekuwa wapiMbona una chuki naye aliwahi kumtia mimba mama yako akamtelekeza ?