PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa akili ndogo tu ya kawaida nani ataweza kutoa ushahidi ili Polisi walioua watu wawe liable?

Mfano lile tukio kule Mwanza watu kumi na tano walikuwa wanaangalia mpira wakapigwa risasi ndani ya banda la mpira.

Acha ushabiki.
Hapo wanatafutwa viongozi wa Chadema waangushiwe jumba bovu, hakuna polisi hata mmoja ataguswa kwani amri ya kuua ilitoka kwa Samia mwenyewe.
 
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.

====

TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-

(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Haya mambo ya kupoteza muda hayatamuokoa n.a. ICC

NATANGAZA KUIPUUZA TUME HIYO
 
Jana mlimsikia Wasira lakini? Kama mlimsikia basi Hukumu imekwisha andikwa tunaenda kutafuta ushahidi kukamilusha hukumu
 
Unawajua walutenda jinai? Sio wale waliotaka nchi jirani na Kuendesha kambi za mafunzo na kuwalipa 10,000
 
Bila kumtaja aliyetoa order ya shoot to kill, polisi na usalama walioua waandamanaji, IGP, CDF, aliyezima mitandao, Tume ya uchaguzi, ofisi ya usajili, baadhi ya wakuu wa mikoa, wilaya, baadhi ya OCDs na watekelezaji wote, hii tume nayo itakataliwa na jamii.
Hayakuwa maandamo bali jaribio la mapinduzi na uhalifu
Msijifiche kwenye aliyetoa oda,anzeni mazoezi ya kujichomeka matango,segerea hii hapa,mkapate amoeba
 
Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.

P
Acha kupotosha,wahamasishaji walioko nje?..kama watu waliandaliwa ndani kufanya uhalifu, maana yake kuna wandaaji,wachochezi nk,waliosema kitanuka,hapatakua na uchaguzi sharti wanyee ndoo
 
Back
Top Bottom