PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza hapo hapo unakosa uhalali wa kuipinga tume. Kuanza kuniita STD II mara SAMUYA nk. Only stupid can think that. Rais is the Head of State kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Sheria za Tanzania na Katiba. Acha kutumia mihemko kwenye mambo ya kisomi.

You are stupidy ndio inakufanya uongee mashudu. Muulize Mwambukusi akueleze who is a president.

Mnadhani kupiga kelele kwenye social media kwa ujinga wenu kutaondoa masuala ya kitaalam.

Stupid
 
Binafsi sioni kama hii tume inaweza kuleta majibu genuine,pia mchanganyiko wake naona hauko sawa sana,sijui ni nani anamshauri Rais,naona kuna kitu hakiko sawa
 
Unahangaika bure na hilo mbumbumbu
 
Subiri uone kitakachotokea. Unadhani kupindua serikali ni jambo dogo. Baada ya wiki mbili hii message utakuja kuirudia. Serikali haifanyi mambo kwa mihemko. Kila kitu kinawekwa kwenye utaratibu.
Ni kweli, na utaratibu huo ndio ulimpa rais kura hewa 31m bila kuwa na wapiga kura. Safari hii mtatuulia barabarani. Subiri uone tukiandika historia mpya duniani.
 
Nonsense.
Stegomana alikuwa waziri wa majeshi kipindi cha mauaji na wakati wao ndiyo watuhumiwa wakuu wa mauaji.
 
Tena alikuwa waziri wa ulinzi kabisa. Huyu Mzanzibar ni fala sana anatuona wote wajinga kama yeye.
Matendo speaks volume...Huyu rais haramu anajua hakuna mtu wa kumfanya chochote tutapiga kelele lakini ata fanya anavyoona yeye na sio wananchi na ata hiyo D9 haitamtoa madarakani.
 
Nonsense.
Stegomana alikuwa waziri wa majeshi kipindi cha mauaji na wakati wao ndiyo watuhumiwa wakuu wa mauaji.
Sidhani kama JESHI lilihusika na kuua.angechaguliwa bashungwa ningeshangaa
 

Ninaamini hao wote ni WANACHAMA HAI wa chama tawala kilichounda SERIKALI iliyowateua.

Ni kama tu ile tume huru ya uchaguzi ambayo haiko huru.
 
Kama wataalamu ndiyo hao basi hadi na wewe unaowaamini unahitaji kuombewa kwa mwamposa akupake MAFUTA.

Wewe hata STD II nimekupendelea wewe ni NGUMBARU unayeamini kwamba SAMUYA ni Head of State ,kwa uchaguzi upi? Hicho ni kukundi cha WAHUNI waliopora uongozi kwa wananchi.

Unaonekana haujui kitu chochote ,wewe endelea na kazi ya kupinga maana tunajua Abdul ana wapumbavu anawalipa waje kumsifia SAMUYA na kumtemtea mitandaoni na mmoja wapo ni wewe pasipo kuwa na shaka kama paskali anavyosema bonafide genuine CHAWA.
 
Unaandika maneno mengi mno ya michambo. Sasa ukinichamba mimi utaondoa nini. Wewe ni furushi la magimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…