PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
No, actually ni hivi: wewe utaundaje tume ya kuchunguza mauaji uliyoyaagiza?
Na huyo kibibi Tax alikua waziri wa ulinzi wakati wa mauaji ya halaiki.

Wapumbavu wakubwa wamemtambulisha katika tume haramu kama mtumishi wa zamani wa SADC ambayo aliondoka miaka 2 iliyopita na nafasi ya mwisho kutumikia ilikua ni waziri wa ulinzi wanaogopa nini kumtaja kama hivyo?

Huyu ni inductee wa ICC.
 
All narcissists & Psychopaths are master gaslighters .
Exactly they usually don't hesitate to use whatever means in their disposal to make a victim guilty under the circumstance that simultaneously gives them acquittance.

Huyu mzazibari hata aruke ruke vipi, the end is nearer than it wouldn't be if angekuwa tu ameiba uchaguzi bila kufanya mauaji.
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.

Samia wewe ndiyo mtuhumiwa namba moja, mbili ni mwanao Abdul, tatu ni Kikwete, nne ni Mafwele then wanakuja DG wa TISS, IGP, CDF, Muliro, seniors wote TISS na wizara ya mambo ya ndani, KMKM, mercenaries from UG, Ridhiwani, DCI na timu yote ya wasiojulikana.
Samia kwa kuwa wewe ndiyo mtuhumiwa namba moja plus unakalia kiti cha urais kiharamia hivyo hauna legitimacy ya kuchagua watu wa kuwepo kwenye tume na kituko zaidi majority ya hao watu waliopo kwenye hiyo list historia za waliyoyafanya huko nyuma zinawanyima credibility ya kuwa 'wachunguzi' wa what exactly transpired.
Your browser is not able to display this video.
 
Picha za Tanzania zimeisha umeona ulete za Wakenya. Kwikwikwikwikwikwi
 
Hiyo tume mbona kama imeundwa na JK
  • Jakaya na Samia
  • Jakaya na IGP Mwema,
  • Jakaya na katibu mkuu SADC Dr.Stergemona L. Tax
  • Jakaya na Lt Gen. I.P Meela
  • Jakaya na Balozi Kapya
  • Jakaya na Balozi Ombeni Yohana Sefue katibu mkuu Kiongozi Mstaafu
 
Huyu mtu anawadharau sana Watanganyika. Yaani mtuhumiwa mkuu wa uovu woe katika kudhulumu haki za wananchi, mtuhumiwa mkuu wa kuelekeza na kusimamia mauaji, eti ndiye anateua tume bandia ya kuchunguza uharamia wake!!.

Wananchi wanatakiwa kuunda tume ya kumchunguza Samuya juu ya nafasi yake na jinsi alivyoshiriki kuanzia utekaji na mauaji ya wanaomkosoa, alivyounda tume bandia ya uchaguzi na kuiita ni tume huru, kauli zake wakati wa kampeni bandia zilizochochea mauaji ya wananchi, na ushirimi wake wa moja kwa moja au indirectly katika mauaji ya Watanganyika. Pamoja naye, ajumuishwe mwanae Abduli.
 
Picha za Tanzania zimeisha umeona ulete za Wakenya. Kwikwikwikwikwikwi
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Na hawa wa Jamaica nao vipi?
 
Hii midhaha na utani wake kwetu mpk tufanye jambo litakalo mgusa moja kwa moja km kwa kina jux ,nenga na shishi lbd utaelewa
Huyu mama inatakiwa siku aamke akute Abdul na Wannu wameuawa kikatili ndo ataanza kuelewa somo, inatakiwa somo lifundishwe kivitendo ndo litaeleweka vizuri
 
Huwezi kuweka tume angali Ma RC ,IGP,CDF wapo madarakani,yaani nikimuona MURIRO NA CHALAMILÀ NASKIA HASIRA SANA
 
Naendelea kuamini kabisa kwamba huyu mama hana akili! She is very low kama mbibi mkulima tu wa huko Mwakipopo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…