BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ana shida kubwa sana huyo jamaa
Hii inatupa picha tuna kiongoz wa namna ganihata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
Tumpe muda atengue tena au?Mama Samia anajua anachokifanya na wala hakurupuki, mpeni muda muone matunda yake...naamini atakua the best president of africa.
Anachofanya yeye ni kutangaza tuKuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!
[emoji23][emoji23] Tulieni,mtamkumbuka jiwehuyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu??????huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Twambie kwako raisi wa maana niyupi, tumchague atuongoze.kwa hiyo kama jiwe aliteua? we unaona jiwe ni rais wa maana sana mpaka umtumie kama mfano?
Hapo wa maana ni Lissu tu upande wa sheria, lkn wengine hao hawana tofauti nawabunge wengi wa ccm.anaweza hata asifike huyu ana habati tu mle bungeni hakuna vitasa kama Lissu, Lema, Msigwa, Heche
Atakuwa anacho cha kuchanganya na za kwake kuliko kukosa kabisa!Atapotea...miluzi mingi huku
View attachment 1743826
Zaidi soma:
Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
Viongozi 5 wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. Vigogo watano wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, James Mataragio, wamepandishwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
huyu jamaa ana mungu wake kila kesi anatoka salama na safiiiii kama almasi
Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wakePamoja na kukariri kwake lkn kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika ilikua ni shughuli pevu kwake.
Alikua anajua tu Boiling point of Copper and catalyst..
kuteua usiku na kutengua asubuhi ni kujua unachokifanya?hii ni akili au matopeMama Samia anajua anachokifanya na wala hakurupuki, mpeni muda muone matunda yake...naamini atakua the best president of africa.
Magufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kaziHii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Magufuli alishafanya hivyo si mara moja!! Let mama be!!kuteua usiku na kutengua asubuhi ni kujua unachokifanya? Hii ni akili au matope
Sidhan kama watu wote unaweza kuwajuaKwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Ilishawahi kutokea hayati aliteua naibu waziri aliye shindwa kuapa na wiki iliyo fuata akateua mpyaaaaDuuu hii habari mpya kabisa haijawahi kutokea miaka yote mitano ya Magufuli.