OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tareheMagufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
Unajisahaulisha huyo aliyekua anajua CV za wateule wake alivyokua anakuja mikoani anawauliza wakurugenzi hivi wewe kabla ya kazi hii ya ukurugenzi ulikua unafanya kazi gani?Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wake
Huoni Raisi amejionyesha hajui anachokifanya anakurupuka
kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tareheMagufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
Ana makandokando gani mkuu?JF walikoosea sana kuunganisha ule uzi kwani hili lilikuwa ni jambo sensitive sana la kujadiliwa kwenye uzi wa kujitegemea
Sio kwamba JPM aliweka standard basi iwe ndivyo, hapanaMagufuli alishafanya hivyo si mara moja!! Let mama be!!
Haaaaaa...[emoji23]Wewe si smart zaid yake, kuwa Rais sasa.
🤣🤣🤣anakimbilia wapi?kwa nini asijipe muda?
kwa hiyo anajifunza urais,au sio? atanyooshwa sana mtu wenu huyo bahati mbaya kuna wahuni kibao wanamtegea tu mibaNi mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
Aisee katanga please hii ni dosari kwako,kwamba husomi hizo cv vizuriView attachment 1743826
Zaidi soma:
Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
Viongozi 5 wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. Vigogo watano wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, James Mataragio, wamepandishwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
Hapa mwenyewe inawezekana umekurupuka maana hujui tatizo lilikuwa kwenye uteuzi au uwasilishwaji wa taarifa. Hili suala lilishamtokea JPM pia akatengua uteuzi, kuna yule alishindwa kuapa.Kwa uelewa wako ni bora Raisi ajue kuongea ngeli ya sentensi iliyokamilika kuliko kujua CV za wateule wake
Huoni Raisi amejionyesha hajui anachokifanya anakurupuka
Kuwa raisi ww basi!! Una la ziada au, ni wale wale kama mm huna la ziada zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard kukosea watu ma raisi??? Raisi wa mfano no yupi, au tusiburi uwe wewe wa mfano!! You dont have to be against everything and everyone!! Binadamu makosa ni kawaida, na kama ameweza kurekebisha asubuhi nadhan ni jambo zuri!! Tunasubir wewe uje kuwa raisi wa mfano😉kwa akili yako unaona magufuli ni rais mfano? si walewale tu kasoro tarehe
Acha uzembe wa kufikiri, vipi kuhusu Dotto James?kwenye hilo Magu namkubali,kwanza sehemu nyeti hapeleki mtu asiyemjua binafsi,hata kama ni ndugu au upendeleo
Ingekuwa rahisi yeye kusema teuzi anafanya bwana mkubwa mwenyewe?Tatizo ana haraka sana kuifumua serikali kama hakuwa Makamu wa Rais....Au anatuaminisha kuwa alipokuwa anasema wanashirikishana kwenye Teuzi wakati wa JPM haikuwa KWELI.
Mbaguz, chuki binafsi, unamwita mzanzibar kwanini ulkua huwaiti watanguliz wake watanganyika. Ndo Raisi SASA na uzanzibar wake na tunamkubal Sana tuuPapara za huyu mzanzibar zimem-discredit sana
nazungumzia kuwajua!sizungumzii uwezo wao. Magufuli hawezi kumpa mtu idara vyeti bila kumjua hata kama atakuwa hovyo lakini anamjua ni hovyoAcha uzembe wa kufikiri, vipi kuhusu Dotto James?
Usalama hapo wamechemka snKwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Mama keshafahamu analishwa matango pori, mama awe makini team inayomzunguka kuna watu wanapanga safu zao asipoangalia 2025 atajikuta nje...