Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
hauwezi ukawajua watu wote maana majukumu ni mengi mkuu.....hata hao washauri hawawezi wajua watu wote......amepata taarifa isiyo sahihi na ameitafiti na kuibadilisha
 
subiri mimi niwe rais ndio utajua rais anatakiwa kuweje,sawa?!wewe endelea kuimba mapambio tu
 
Huyu uraisi aupatie wapi Yuko negative kwa kila Jambo yeye mwenyewe maisha ukute yamemshinda
 
Hapa mwenyewe inawezekana umekurupuka maana hujui tatizo lilikuwa kwenye uteuzi au uwasilishwaji wa taarifa. Hili suala lilishamtokea JPM pia akatengua uteuzi, kuna yule alishindwa kuapa.
Unaijua cv ya fransis kumba ndulane wewe au unahisi kasoma evening classes,usifananishe kushindwa kuapa na kuteua mtu kisa aliwahi kuwa mbunge UDOM
 
Kazi yake si ndo iyo kwa nini awe na papara? Yaani akose muda wa kupitia haya cv 40! Ina maana analetewa majina idadi kamili!! Maajabu sana
Wameshaanza kuuza nafas , kama wewe una pesa ukitoa jina lako linafika mezan kwa mama
 
Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Inaonekana mama anakurupuka katika uteuzi zake. Washauri wake wamshauri atulie awajue watu vizuri, unateua usiku asbh unatengua hii ni ishara kwamba hakuna vetting iliyofanywa, rais ni taasisi kubwa
 
Naona Mama kashajipunguzia marks mbili za ubora, kwamba anakurupuka uteuzi

ATULIZANE!
Rais ana nafasi ZAIDI ya 200 za kuteua kwa kada mbalimbali kwa mtazamo wako unaweza ukawajua hawa watu wote inside out?? sio kukurupuka na kusema kirahisi tu eti "anakurupuka kwenye teuzi"
 
Unaijua cv ya fransis kumba ndulane wewe au unahisi kasoma evening classes,usifananishe kushindwa kuapa na kuteua mtu kisa aliwahi kuwa mbunge UDOM
Sifananishi, SSH si JPM. Hata ukosoaji tu unaonyesha hilo.

Kosa limerekebishwa ngoja tusikie huenda raisi akasema nn kilitokea kesho.
 
Tumpe muda atengue tena au?

Mnapenda mno kulalamika kamanda....ni vizuri ukamfuata mwenyewe face to face umtajie majina yako matatu kisha mweleze "Mama unavyofanya sio vizuri" atamteuwa unaempenda
 
Sasa hao waliomtoa jana ndio hao hao majizi. Ndio wa kuwnza nao.
 
Naona anafanya Ili kupata attention ya watu. Mambo muhimu kama hayo ikitakiwa yaende taratibu,mpaka kufikia October angekuwa kamaliza kupachika watu wake,ila huku kukurupuka kwakwe atakuja kufeli.
Makosa makubwa sana ana fanya yeye alikuwa msaidiz wa magufur kitu gani kina mfanye apangue timu kwa pupa naamin maamuz anayo fanya siyo ya kwake,, yeye ange watoa kidogo tena kwa uzembe na wiz sasa yeye ana tengua tu, angekuwa mpizani tusinge shangaa.
 
Kuna Watu Wanamhujumu Mh.Rais kumpelekea Majina ya Makada wasio na SIFA
 
watu wanajua kuongoza nchi kama kuongoza familia ya mke na watoto watatu, hivi kweli rais atawajua watumishi wote?

kwanza ni nani asiekosea? Majina mengi ya viongozi, rais anashirikisha team yake, team yake nayo inaomba taarifa kutoka kwenye mapandikizi ya maofficn (usalama wa taifa wa maofficn) sasa mapandikizi wakipata mtu mbaya ambae amejificha kwenye kichaka na kuonekana bora, nao watarudi kwa team ya mama na jina, hivyo mama atapewa jina......

Mama ni smart enough kukubali kukosea, sio mtu ameona ndege hazifai zinaleta hasara, alafu anaendelea kununua nyingine.



mbona kuna alieshindwa kuapa, mbona kuna madudu mengi ya kina makonda hebu
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Kuwa na vyeti sio kuongoza sometimes nawe uwe unafikiri kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…