Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Huu uteuzi umevunja rekodi ya dunia
 
Huyu rais nae ashaanza kuwa kiazi.Nchi ina wasomi wangap?
 
Mkurugenzi mwenye bahati ya kutumbuliwa na kurudishwa kazini
 
Anapitia jamhuri ya Twitter pia
 
Nchi hii hatuna viingozi wa dini tuna wachumia tumbo mpaka liwakute ndio wanatoa tamko, kwahyo hao makasisi wasigendanja wangesema hamna Corona
 
hizo information za why mtu fulani kaondolewa why mwingine karudishwa ziko kwa mamlaka zinazofanya vetting. ikiwamo TISS.
sasa kama unazitaka zipo, ila una guts za kwenda kuulizia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…