Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Mashirika nyeti hayo hayafai watu wa kusoma kwa kuunga unga, mara bachelor degree evening classes nk. Na exposure hana zaidi ya siasa zetu uchwara sijui uvccm sijui nn...
Bachelor degree evening classes[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]

Umenipasua mbavu mkuu....ila kiukweli kabisa evening classes wote huwa ni vilaza sana
 
Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana CV zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Washauri wz Rais mama Sameer watakuwa bado ni walewale masalia ya hayati Mwamba wenye chuki,wivu na rohombaya. Jiwe a.k.a Mwamba/Mwambafy aghalabu alikuwa akizingatia welding na CV zaidi ya akili yake inavomtuma. Mfano live ni aliyekuwa RC DSM Bwana Makonda mwenye CV ya Div.0 ya Form 4.....!!!!
 
Hapa Mama afanye maamuzi kwani ndio kutamwongezea sana utendaji kwa kuwa wanaodai wanataka kwenda kufanya biashara na tukumbuke huwezi kufanya biashara bila kulipa kodi pia watatoa ajira kwa wingi na mzunguko wa fedha utaongezeka zaidi mitaani kuendana kuachia mafao ya watu wanaodai makato yao
 
Sawa ila kwa staili yake hii ametengua wengi ambao hawana sifa binafsi naanza kumtoa Jaffo Tamisemi, pale TRA na Katibu Mkuu Wizara ya Afya.
Bado Wakurugenzi TCRA na TTCL...!!!
Hawa lazima wang'oke wanaharibu na kuvuruga mtandao wa Mawasiliano ya Data na Simu Tanzania.
 
Kwenye vyeo vikubwa wawe wanaruhusu watu ku apply then wafanyiwe michakato uliyotaja ikiwezekana wapitishwe na bunge, bila hvo tutaendelea kupata watu wasio wazoefu
Hilo linahitaji mabadiliko ya katiba kama Kenya
 
Halafu we ni mwanamke! Hivi wanawake tumelaaniwa kwa roho mbaya? Toka huyu mama ameapishwa kuwa Rais, hakuna mwanaume hata mmoja alishawahi toa comment kama hii yako yenye maneno makali hivi[emoji57][emoji57] narudia hakuna...lakini wewe uko hapa kumdissapoint mwanamke mwenzako

Shame on you, mav.i kabisa!
 
Anatakiwa awatengue fasta hao watu tena aiweke public kuwa katwngua watu fulani kwa kumpotosha ili wanaokuja chukuabhiyo nafasi wajue wanapewa kazi gani...
Ni watu gani hawa by the way?
Mi nashauri ahame kabisa ikulu ya Dar, maana inaonekana be Dar wajaa wahuni tu hapo ikulu.
 
Huyo ana ule unaitwa, "WIVU WA KIKE".....!!!
Wanawake iko shida kubwa!!
 
Huyo mama aliyetoa hyo comment atakuwa mchawi hamna ambaye huwa hapitiwi na kukosea Jambo, ila huyo mama comment yake ni ya mkaanga sumu kabisa.
 
Huyo ana ule unaitwa, "WIVU WA KIKE".....!!!
Wanawake iko shida kubwa!!
Hatuna shida ila huwa ni ujinga wa wanawake wasiojielewa, Mimi Mara nyingi nimekomeshwa na wamama watu wazima kabisa aisee
 
Huyo ana ule unaitwa, "WIVU WA KIKE".....!!!
Wanawake iko shida kubwa!!
Imagine...waliotakiwa angalau kuongea haya ni mwanaume, lakini janamke linasimama na kutoka povuuu[emoji57][emoji57]

Kama anaona rahisi tumpe yeye nchi kama hajatembea uchi na chupi kwenye ulimi,

Mama anajitahidi sana especially kwenye huu uongozi top, tena uongozi wa kukurupushwa tu without any idea[emoji1745][emoji1745]
 
atampata wapi ili amuulize jamani! au sikuhizi marehemu wanaulizwa?
 
Huyo mama aliyetoa hyo comment atakuwa mchawi hamna ambaye huwa hapitiwi na kukosea Jambo, ila huyo mama comment yake ni ya mkaanga sumu kabisa.
@cariha Yaan huyu ni zaidi ya mtembea na ungo, ana wivu wa kupindukia khaaaa[emoji848][emoji848]
 
Huyo mama aliyetoa hyo comment atakuwa mchawi hamna ambaye huwa hapitiwi na kukosea Jambo, ila huyo mama comment yake ni ya mkaanga sumu kabisa.
Nashauri Mhe. Rais awe macho sana na wanawake wenzie.....kuna wengi hawaja pendezewa kabisa na Mama Sameer kushika Usukani wa Jahazi letu linalopigwa Mawimbi makubwa kati ya bahari....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…