Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Amina , Mungu kasikia kilio chetu kamuondoa mnafki.Hiyo ilikuwa ni slogan tu ya danganya toto!!!
"Wanyonge" wa Jiwa walikuwa ni ndugu zake, wanaukoo, marafiki, makada CCM na washabiki wake! That's all and nothing else!!
Siwaufanye chuu mchakato kuwa transparent zaidi ya sasa kuepuka maduduUtaratibu hata hapa upo hivyo ni taasisi chache sana Rais huteua moja kwa moja. Mara nyingi huwa anapelekewa majina matatu baada ya usaili kufanyika.
Miaka kama mitatu au minne nyuma Bandari, EWURA na FCC walitangaza nafasi za wakurugenzi wakuu watu walituma maombi kwa makatibu wakuu. Ila baadae pia ghafla wakateuliwa watu moja kwa moja nakumbuka FCC palikuwa karibu na barua 34 za watu na Prof. Adolf Mkenda ndio alikuwa katibu wa wizara ya viwanda na biashara.
Nilishtuka sana mwaka 2015 mwezi wa 12 nilipoona jina la Doto Mgosha James kuwa naibu katibu mkuu wizara ya fedha...Magufuli alikuwa anaingilia hizi process na madhara yake tumekuja kuyaona kwa Mama Samia Hassan.
Ni kweli lakini afadhali huyu kuliko mwendazakehuyu Rais siyo smart
Ninaweza kukubaliana nawe.Kuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!
Luna watu kibarua kitaota mabawa. Hili si jambo dogo.Kashajifunza na inabidi awape karipio waliomuingiza chaka
Mimi namuombea Sana mama na Nina Imani naye atatuvusha salama, vizabina zabina vya kuchomekea vitu ili aonekani hafai watashindwa, na wengi Wana mchukulia poa poa, ngoja ale vichwa kazaa akili iwakae sawa, watatulia.Cariha,
Ushauri wangu kwako ombea sana Ikulu ya mama Sameer na hao wanawake wenzio wenye roho mbaya na wivu wa kike.....otherwise yajayo yanasikitisha!!!
Baadaye ilikuja kujulikana hiyo ilikuwa kesi ya kubambikiwa na wale waliyokuwa chini. Ikumbukwe kuwa huyu alikuwa anafanya kazi USA kwenye kampuni kubwa ya madini. Katika CV alifanya utafiti mwingi wa madini na maandiko yake yanatumika saana kwenye sekta ya madini. Ilipotangazwa kazi akiwa USA aliomba na kupata. Hii iliwakasirisha wakurugenzi wa hilo shirika hasa pale alipoua mbinu zao za udokozi. Hiyo kesi iliiondolewa na serkali kwa aibu baada ya TAKUKURU kuthibitisha ilikuwa kesi ya kusingiziwa na wivu.Huu ni uamuzi sahihi kufanywa katika wakati sahihi na Mhe. Rais.
Angalizo kwa Mhe Rais, awe makini sana na washauri wake hasa timu yake ya washauri na avunje kabisa kitengo cha VETTING TISS na kukiunda upya.
Hii ilikuwa ni aibu kwa Taifa. Yaani unamtoa Christiano Ronaldo unamuingiza Sapong????
Hongera Mama Samia kwa kuchukua hatua za haraka!
Ajipe muda wakati wananchi hususan wapinzani mlikuwa mnapiga kelele sana mama ateue baraza jipya na aunde cabinet yake???anakimbilia wapi?kwa nini asijipe muda?
Ileteni hiyo CV na sois tuione ingawa tuliishia la 8 la zamani.Hii ni hatari, nilipoona CV ya mteuliwa nikaogopa.
Hawa watu wanakera kwa kweliAcha kumwita dhaifu kisa teuzi aisee, eti hauko tayari, kweli jamii yetu ina Perception mbaya kwa wanawake mbona hata magufuli aliingia Chaka na kurekebisha. Makosa ni sehemu ya ubinadamu ndio maana yanarekebishika
umeharibu hapo ulipomtaja jafo, huyu hamna kitu kichwani anabebwa na kujipendekeza tu...ni mwepesi kama unyoya wa kuku!
huyu ni sawa kabisa na jenista mhagama
Baadaye ilikuja kujulikana hiyo ilikuwa kesi ya kubambikiwa na wale waliyokuwa chini. Ikumbukwe kuwa huyu alikuwa anafanya kazi USA kwenye kampuni kubwa ya madini. Katika CV alifanya utafiti mwingi wa madini na maandiko yake yanatumika saana kwenye sekta ya madini. Ilipotangazwa kazi akiwa USA aliomba na kupata. Hii iliwakasirisha wakurugenzi wa hilo shirika hasa pale alipoua mbinu zao za udokozi. Hiyo kesi iliiondolewa na serkali kwa aibu baada ya TAKUKURU kuthibitisha ilikuwa kesi ya kusingiziwa na wivu.
Mama ni dhaifu. Tunamuheshimu kwa kutumia lugha laini eti mama. La sivyo tungempa za uso. Ajirekebishe haraka na kuuvaa urais ipasavyo.Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?
Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----
Mkuu umenena!Kuna muda mwingine zaidi ya huu alionao?
Tatizo letu UmuchKnow mwingi sana Wabongo.
Kila kitu tunajifanya tunajua alafu we c ndo unelalamika ile thread juu ya huyu jamaa mbona tena hauridhiki au ulitaka uchaguliwe wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanini wapendekezwe na TLS na Mahakama???Hawezi kufanya uchambuzi wa watu wote wanaokuja mezani kwake.Badala ya kutaka yeye afanye uchambuzi ni bora raia watake mabadiliko ya kupatikana kwa viongozi katika utumishi wa umma.Rais abaki kuteua mabalozi, mawaziri, wakuu wa vyombo vya usalama, majaji(watakaopendekezwa na TLS pamoja na mahakama).
Hapo uliposema hatukuwa na ujirani mwema na Kenya ndio umegusa. Ina maana kwa kauli ile ya raisi Kenyatta huo ugomvi unaosemwa ni nadharia tu za mitandaoni.Hao wote uliowataja ni wezi wa kura, unategemea ubora upi toka kwao? Huyo Kenyatta alimpa huyo mama huo ushauri kinafiki maana ilikuwa ni msibani, lakini wakati wa uhai wa Magufuli bado hatukuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara sisi na Kenya, mpaka Kenyatta aone hiyo road map ya Magufuli ilikuwa na jipya.