Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mama is being herself. Mtangulizi wake si ndio bado tunaendelea kumsimanga na kumsengenya tu japo kashazikwa???!!!!!!!Mama aachane na mitandao afanye kazi taratibu. Lakini sasa anateua anakimbilia kuchungulia comment za raia. Ina maana alikua haoni kabisa alichokua anafanya mtangulizi wake?
I bet mtamfikisha Mheshimiwa rais stage ya kutoskiliza msemayo.
Tumepata rais anaeskiliza mawazo yetu hata Sisi tuliopo huku kwa mkono kupitia mitandao lakini bado pia mnalalamika????