Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kama genius anaweza,unajua kuna vitu vinafikirisha sana.
mtu aliezaliwa 1987 (japo sura yake anaonekana ni 1977,1978, 1979) anaweza kuwa mkurugenzi wa shirika kama tpdc?
modi msifute au kuunganisha.
nataka tuende kwa mifano ya hapa kwetu kama yapo mashirika yenye maDG ya mtu wa 1987 or above.
View attachment 1744359
Lkn kama ana elimu ya kuunga unga ya St Yohana University (evening class) hapana aisee!