Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Mkuu, utaratibu upo ila umevurugwa kitambo sana.

Yatakiwa overhaul changes kila idara na taasisi nyeti za serikali kama TPDC.

Ufisadi umo humo pamoja na vitendo vya uhujumu uchumi.

Kwa sifa na weledi bado mzee mataragio afaa sana.

Tumwombee aiongoze taasisi hiyo huku akiandaliwa mrithi wake.
 
Kuna wapemba wamemuweka wakiwa pamoja na yule mkwe wa mama samia. Yule anayesimamia TISS
Nia yao ni kupiga vitalu vya mafuta.

Yule jamaa wa sasa ni nyoko amewashika mapu** hawawezi kupiga.

Hata meko aliingizwa chaka ila akashtuka mapema na kumtudisha jamaa.
Tuzidishe maombi ya dua na swala kwa ajili ya mzee Mataragio.
 
Mkuu umezungumza ukweli huyu mama apenda sana kusomasoma mitandao.

Yeye apaswa kuchuja kipi kizuri na kukifanyia kazi.
 
wakuu hivi huyo mstaafu mr.mwesiga..atapewa japo pesa ya usumbufu au
 
Huyo aliyerejeshwa anakamilisha ile kauli ya

No weapon formed against me, shall prosper..

Wazungu mtaiweka sawa hio kauli
 
wakuu hivi huyo mstaafu mr.mwesiga..atapewa japo pesa ya usumbufu au
Baada ya kumtishia kumuua zito alipewa zawadi ya cheo gani huyu chawa.Maana yule chawa wa Arusha DC kiongosi alipewa udc baada ya kusema atamuua zito na mbowe akiwa uvccm iringa.Ulimi wako ndo ubeba laana na baraka ya maisha yako.Tuliona wapo mahakimu walipewa ujaji kama motisha promotion ya kuwafunga wapinzani.Tulifikia pabaya Sana aise uzuri Mungu hakutuacha yatima.Chawa kama kina veronica france musiba mulaga ndio wamepata pigo.
 
Rais wetu mama Samia chapa kazi.
Hakuna kiongozi duniani atapendwa na kila mtu.
Ukicheka na nyani utavuna mabua
 
Mkuu, utaratibu upo ila umevurugwa kitambo sana.

Yatakiwa overhaul changes kila idara na taasisi nyeti za serikali kama TPDC.

Ufisadi umo humo pamoja na vitendo vya uhujumu uchumi.

Kwa sifa na weledi bado mzee mataragio afaa sana.

Tumwombee aiongoze taasisi hiyo huku akiandaliwa mrithi wake.

..kwani jaribio hili la kumbadilisha DG wa Tpdc limeanzia wapi?

..Je, dokezo lilitoka wizara ya Nishati ambao ndio wasimamizi wa Tpdc, au lilitokea Ikulu moja kwa moja?

..aliyepeleka / waliopeleka jina ya kijana wa CCM ambaye hana qualifications mezani kwa Raisi ni kina nani?

..Je, kuna UCHUNGUZI wowote umeanzishwa kujua chanzo jaribio hili la kumpotosha Rais na Amiri Jeshi Mkuu na wahusika ni kina nani?
 
Ana CV ambayo inaweza kuwa hayupo mtu mwingine aliyenayo hapa Tanzania
 
Hivi kitu gani kimevikumba vituo vya mafuta vya serikali chini ya TPDC (NatOil) naona vimesitisha kutoa huduma muda umepita sasa shida imekuwa kitu gani anayefahamu juu ya hili atujuze.
 
Hivi kitu gani kimevikumba vituo vya mafuta vya serikali chini ya TPDC (NatOil) naona vimesitisha kutoa huduma muda umepita sasa shida imekuwa kitu gani anayefahamu juu ya hili atujuze.
Maandalizi ya kuachana kamili Siasa ya Ujamaa na kujitegemea( joking)!!!
 
Back
Top Bottom