Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mama is being herself. Mtangulizi wake si ndio bado tunaendelea kumsimanga na kumsengenya tu japo kashazikwa???!!!!!!!Mama aachane na mitandao afanye kazi taratibu. Lakini sasa anateua anakimbilia kuchungulia comment za raia. Ina maana alikua haoni kabisa alichokua anafanya mtangulizi wake?
Mkuu rejea nimesema kwamba she did what was necessary .Unapoomba cheo au nafasi sehemu yeyoye lazime uwe na vision yako mwenyewe kama wewe mama na JPM walikuja kwa wananchi kuomba tuwape nafasi ya kutuongoza kwa miaka mingine mitano wakiwa na mission na vision yao wapi ,kipi watafanya kwa nchi ktk kipindi cha miaka mingine 5 sasa unapooniambia kuwa kila wanalosema watu wa mitandaoni ambao ni kama 7% ya watanzania wote milioni 60 tena hasa walio Twitter hambao hawafiki hata 2% ya watanzania wote wanachosema anatakiwa kufanya bhasi tujue tupo hatarini sana kama kiongozi atakuwa anasikiliza watu wa mitandaoni bila yeye mwenyewe kuwa na mission au vision yake na kutegemea comment za mitandaoni kuendesha nchi.
Huyu hii kazi aliipata tangu enzi za JMK. Wakansagia janga akaokolewa na TAKUKURU na kuendelea na Magufuli, sasa ndiyo wakaona wamuondoe kinyemela kwa kumteua mtu mwingione, yeye afe kikazi kimya kimya.Jamaa hatumbuliki aisee
Kwanini wapendekezwe na TLS na Mahakama???
Mods wa jf ni wapuuzi, ilikuwa kwenye uzi unaojitegemea ambapo ingekuwa rahisi kukuelekeza ila wao wakaiunga kwenye huu uzi....kama una moyo ukipekua hii thread utaiona...Ileteni hiyo CV na sois tuione ingawa tuliishia la 8 la zamani.
Naibu km nishati ni div ⁰ f6Washauri wz Rais mama Sameer watakuwa bado ni walewale masalia ya hayati Mwamba wenye chuki,wivu na rohombaya. Jiwe a.k.a Mwamba/Mwambafy aghalabu alikuwa akizingatia welding na CV zaidi ya akili yake inavomtuma. Mfano live ni aliyekuwa RC DSM Bwana Makonda mwenye CV ya Div.0 ya Form 4.....!!!!
Mkuu pitia mitandaoni hasa huko Twitter ambako tunadhani inawezekana wengi wao wana ufahamu ,maarifa na utashi wa kiwango kikubwa angalia hoja zao si kujenga nchi au kushauri huko wamejaa watu wenye Roho mbaya ,wivu, ubinafsi ,chuki ,Visasi na wenye kutamani nchii ianguke au ipate matatizo kwao ni furaha sasa kama ww unaweza chukua ushauri wa watu ambao 90% wanaongozwa na mawazo ya Kigogo ,Chalali,Fatma Karume, na yule mjaruo?Mkuu rejea nimesema kwamba she did what was necessary .
Mimi naamini kwamba ndani ya taifa letu hao 7% ambao angalau wapo kwenye mitandao basi ndio kundi la elite limo humohumo.
Ni kweli Mama anayo vision na mission yake lakini je kuna ubaya kuskiliza watu??
Ni Sisi ndio tulisema JPM alikuwa ndio mshauri wa washauri wake.
Samahani mkuu,Kwa sababu TLS na majaji mahakamani ndio wanaofahamu nani atakuwa hakimu au jaji mzuri na pia itaupa mhimili wa mahakama uhuru kutoka mhimili wa dola jambo ambalo limekosekana kwa muda mrefu.
Kazi yake kuzodoa tu, hawezi jivunia yeye binafsi improvement ya performance indicator hata moja aliyoacha huko afya.Ummy wizara hii itamshindwa
Mimi nadhani si ubaya kupokea ushauri. Muhimu ni mama kuchambua anayo shauriwa kwayo.Mkuu pitia mitandaoni hasa huko Twitter ambako tunadhani inawezekana wengi wao wana ufahamu ,maarifa na utashi wa kiwango kikubwa angalia hoja zao si kujenga nchi au kushauri huko wamejaa watu wenye Roho mbaya ,wivu, ubinafsi ,chuki ,Visasi na wenye kutamani nchii ianguke au ipate matatizo kwao ni furaha sasa kama ww unaweza chukua ushauri wa watu ambao 90% wanaongozwa na mawazo ya Kigogo ,Chalali,Fatma Karume, na yule mjaruo?
Bora hata hapa JF wapo watu ambao unaweza kuchukua hata ushauri kwao kuliko kule ambapo Nchi ikipata matatizo wanashangilia utadhani wao wapo Chicago USA
kwa hiyo hilo ni baraza?Ajipe muda wakati wananchi hususan wapinzani mlikuwa mnapiga kelele sana mama ateue baraza jipya na aunde cabinet yake???
Samahani mkuu,
Nahisi tulikuwa tunazungumzia teuzi kwa ujumla na sio teuzi za watu kushika nyadhifa za kimahakama tu.
Au mimi nimekosea??
Ni Jambo la fedheha SanaLuna watu kibarua kitaota mabawa. Hili si jambo dogo.
Mitandao ina mnadanganya, hiyo mitandao ni ony 2-10% pengine hata hawafiki, kazi itakuwa ngumu kwake akifanya kazi kufurahisha mitandao, kazi ya kuwa Rais wa nchi sio rahisi kama tunavyofikiria.Hapo uliposema hatukuwa na ujirani mwema na Kenya ndio umegusa. Ina maana kwa kauli ile ya raisi Kenyatta huo ugomvi unaosemwa ni nadharia tu za mitandaoni.
Pamoja na trade wars zetu za kila siku. Kenya wakiwa heavily dependants wa raw material za Tanzania mpaka kesho Raisi alielewa road map ya Magufuli kwa wakulima wa Tanzania na agenda zake za kulinda resources.
Mama should stick to the plan. Sio lazima atumie mbinu za mtangulizi wake kufikia malengo. Nonetheless she should follow what worked (don’t mend it, if it’s not broken) and that includes sticking by people who can deliver results and their performance is measurable.
Uongozi hauangaliwi kwa kukaripiana na kutishana. Uongozi na kuonyesha njia na katika kufanya hivyo tunatumia hekma na busara zaidi ya vitisho na makaripio.tamisemi inahitaji MTU mwenye sauti kali kukaripia na kutishia wahuni na majizi
Trust me tabia ya kiumbe yeyote mwenye uhai hutakiwi kuonyesha udhaifu wake na udhaifu wake ni siri yake hata mkeo au mumeo hatakiwi kuujua kwani akiujua kuna siku atautumia dhidi yako.Mimi nadhani si ubaya kupokea ushauri. Muhimu ni mama kuchambua anayo shauriwa kwayo.
Tena wamuache kabisa mama afanye kazi.Magufuli alishafanya hivyo si mara moja!! Let mama be!!
Huyu mama ana matatizo,kwanza nilihisi kitu siku ile katibu mkuu kiongozi anaapishwa,huyu mama alisema aliletewa jina na alikuwa hamfahamu?
Huyu mama atatupeleka pabaya sana,mwanamke ni kiumbe dhaifu na nchi yetu hatupo tayari kwa sasa hivi kuongozwa na viumbe dhaifu,angemuuliza boss wake magu kwa nini alikaa miezi mitatu bila kuteua alikuwa na maana gani----