Mnasemaga tuu hekma na busara, ukali unasaidia unapokuwa na watu wahuni na taasisi corrupt,angalia China,Japan,UAE ma Dubai ninani aliyanyanyua uone kalba zao ilikuwa busara tuu ama ukali ulinyoosha mambo!!
Hakuna nchi duniani iliyonyanyuliwa kiuchumi kwakasi na mwanamke!!
ila usemacho nacho chaweza kuwa kweli,maana na sisi wabongo tuko vizuri kwenye dharauMkuu kuishi na watu inahitaji nidhamu usimdharau MTU huwezi jua atakuja kua nani kwako, labda hawa walikua wanavimba sana enzi hizo yeye hana mamlaka ya kuwatengua kwahyo akawa amewania
This is what I have been saying all over.Wengine ili waonekane tu wamekosoa, ngoja mama akasirike awe ka jiwe ili watie akili vzuri
Wanawake wako wengi sana Tanzania na duniani kote. Lakini male chauvinists and rosemarie types will always be there.Umetaja wanawake wangapi katika population gani? Hata katika huo udhaifu wao si ajabu kupata 1 katika ke 800 na kwa hivyo huyo 1 hawezi kufuta udhaifu wao. La msingi tuombe sana Mungu ili huyu Mama awe wa tofauti na ke wengine walioko katika jamii yetu.
Zipi baba?Acha hizo
This is what I have been saying all over.
Leo anawasikiliza eti tunaanza kumnanga, ngoja sasa awe hatuskilizi ndio tutatia akili
Mkuu ielewe comment yangu kwanza au "ielewe mitaa"TLS walitoa hoja wanayoiona ya kikatiba, kwanini umeona haya ni majibu stahiki kwa hoja yenye uzito huo. Sio lazima wote tuwe na opinion kwenye kila kitu, mara nyingine it's ok kukaa kimya ujifunze.
Haya mkuu. Ila tukimaliza kutiana akili muda umekwenda, mtu kashastaafu na nyumba ya kifahari kashakabidhiwa.Mkuu tutatiana akili. Jiwe si alikuwa kiburi, mbona huku mitandaoni kwenye bunge halisi la wananchi alitia akili, na kila akipanda jukwaani frustration za mitandaoni alikuwa haachi kuzianika?
Mtu anafanyia maoni yetu na Yuko ku act quickly watu wabwabwaja hawana Jena ngoja aache kusikiliza Sasa watu watokwe mapovu had mate yawakauke yeye hachukui hatua ili wachoke kuchonga ka enzi za Jiwe. Dawa ya Moto ni Moto tuThis is what I have been saying all over.
Leo anawasikiliza eti tunaanza kumnanga, ngoja sasa awe hatuskilizi ndio tutatia akili
ExactlyKuna wapemba wamemuweka wakiwa pamoja na yule mkwe wa mama samia. Yule anayesimamia TISS
Nia yao ni kupiga vitalu vya mafuta.
Yule jamaa wa sasa ni nyoko amewashika mapu** hawawezi kupiga.
Hata meko aliingizwa chaka ila akashtuka mapema na kumtudisha jamaa.
Haya mkuu. Ila tukimaliza kutiana akili muda umekwenda, mtu kashastaafu na nyumba ya kifahari kashakabidhiwa.
Kwetu Sisi ya kukwama yashakwama!
Sawa mkuu.Mkuu hiyo tofauti ya maisha ipo tu hata kwenye hizo nchi zilizoendelea. Hivyo hizo kelele zipo na zitakuwepo siku zote maana nature ndio ilivyo. Kwahiyo hayo mambo ya nyumba ya kifahari yasikupe tabu maana hatulali nje, japo hatuishi kwenye nyumba za kifahari.
Yani huko lumumba kumejaa vilaza n utopolo tupu,mama kapenyezewa jina la mtu amesoma chuo ambacho hakipo duniani,kamteua kua DG wa tpdc
Tatizo la biashara ya TZ na Kenya ni kuwa hii biashara haina maslahi kwa wakubwa kule Kenya. Kwa mfano, wnataka kuagiza mahindi toka nje. Hii kazi inafanywa na kampuni za vigogo. Wanaingiza mali mbovu na bila kulipa kodi. Mara utasikia mchele au mahindi toka nje yasiyokidhi kiwango yamrchomwa. Waagizaji wanalipwa kinyemela. Tatizo ukiagiza TZ au UG kazi wanafanya wafanya biashara wadogo na haina maslahi kwa wakukubwa. Ndiyo maana mara kuna corona kwenye magunia, mara sumu minyoo na vitu mbalimbali. Hivyo cvyote ni visingizio tu, ukweli ni kuwa wakubwa hawapati faida na biashara hii. Punde si puinde utasikia wameagiza mahindi toka India Brazil, au USA.Hapo uliposema hatukuwa na ujirani mwema na Kenya ndio umegusa. Ina maana kwa kauli ile ya raisi Kenyatta huo ugomvi unaosemwa ni nadharia tu za mitandaoni.
Pamoja na trade wars zetu za kila siku. Kenya wakiwa heavily dependants wa raw material za Tanzania mpaka kesho Raisi alielewa road map ya Magufuli kwa wakulima wa Tanzania na agenda zake za kulinda resources.
Mama should stick to the plan. Sio lazima atumie mbinu za mtangulizi wake kufikia malengo. Nonetheless she should follow what worked (don’t mend it, if it’s not broken) and that includes sticking by people who can deliver results and their performance is measurable.
Tatizo la biashara ya TZ na Kenya ni kuwa hii biashara haina maslahi kwa wakubwa kule Kenya. Kwa mfano, wnataka kuagiza mahindi toka nje. Hii kazi inafanywa na kampuni za vigogo. Wanaingiza mali mbovu na bila kulipa kodi. Mara utasikia mchele au mahindi toka nje yasiyokidhi kiwango yamrchomwa. Waagizaji wanalipwa kinyemela. Tatizo ukiagiza TZ au UG kazi wanafanya wafanya biashara wadogo na haina maslahi kwa wakukubwa. Ndiyo maana mara kuna corona kwenye magunia, mara sumu minyoo na vitu mbalimbali. Hivyo cvyote ni visingizio tu, ukweli ni kuwa wakubwa hawapati faida na biashara hii. Punde si puinde utasikia wameagiza mahindi toka India Brazil, au USA.