Tuzidishe maombi ya dua na swala kwa ajili ya mzee Mataragio.Kuna wapemba wamemuweka wakiwa pamoja na yule mkwe wa mama samia. Yule anayesimamia TISS
Nia yao ni kupiga vitalu vya mafuta.
Yule jamaa wa sasa ni nyoko amewashika mapu** hawawezi kupiga.
Hata meko aliingizwa chaka ila akashtuka mapema na kumtudisha jamaa.
Atarudi kwa kasi mama wa imani yake,utamwona n mzee mwenzake mohd saidKwa hii miaka mitano iliyobaki FaizaFoxy atakuwa active tena sana; alipotea sana tangu enzi za Kikwete.
Baada ya kumtishia kumuua zito alipewa zawadi ya cheo gani huyu chawa.Maana yule chawa wa Arusha DC kiongosi alipewa udc baada ya kusema atamuua zito na mbowe akiwa uvccm iringa.Ulimi wako ndo ubeba laana na baraka ya maisha yako.Tuliona wapo mahakimu walipewa ujaji kama motisha promotion ya kuwafunga wapinzani.Tulifikia pabaya Sana aise uzuri Mungu hakutuacha yatima.Chawa kama kina veronica france musiba mulaga ndio wamepata pigo.wakuu hivi huyo mstaafu mr.mwesiga..atapewa japo pesa ya usumbufu au
Mkuu, utaratibu upo ila umevurugwa kitambo sana.
Yatakiwa overhaul changes kila idara na taasisi nyeti za serikali kama TPDC.
Ufisadi umo humo pamoja na vitendo vya uhujumu uchumi.
Kwa sifa na weledi bado mzee mataragio afaa sana.
Tumwombee aiongoze taasisi hiyo huku akiandaliwa mrithi wake.
HahahaaUmetema point mkuu...huyo mwesiga hana uzoefu wowote wa mafuta na gesi...
Mafuta taa tu sijui kama anauzoefu nayoo
Jamaa angetoboa humo kungetokea vituko
Hapo TPDC
Ova
MmhUmetema point mkuu...huyo mwesiga hana uzoefu wowote wa mafuta na gesi...
Mafuta taa tu sijui kama anauzoefu nayoo
Jamaa angetoboa humo kungetokea vituko
Hapo TPDC
Ova
Maandalizi ya kuachana kamili Siasa ya Ujamaa na kujitegemea( joking)!!!Hivi kitu gani kimevikumba vituo vya mafuta vya serikali chini ya TPDC (NatOil) naona vimesitisha kutoa huduma muda umepita sasa shida imekuwa kitu gani anayefahamu juu ya hili atujuze.