Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Sawa ila kwa staili yake hii ametengua wengi ambao hawana sifa binafsi naanza kumtoa Jaffo Tamisemi, pale TRA na Katibu Mkuu Wizara ya Afya.
Kwani Jafo yupo Tamisemi?
 
duuh ushakuwa mtoto

Mataragio ni wa nani??

ashakufa japo alikuumiza, pole sana

He is gone, pambana na hali yako na familia yako


Hakuna jipya, kama alikata mirija ishaondoka pia,
mfuate wewe seems ulikuwa muumini wake. Mimi kwangu sawa afe asife shauri yako na yeye. jiue umfuate blood fool
 
Nadhani kitendo cha kupokea ushauri tu kipongezwe

Kuna watu walituambia ukishauri tu ndio umepoteza

Taasisi ya Urais ni makini na sikivu kuweza kudeal hata na hoja za wafanyakazi zimetolewa nyingi sana

Rais big-Up lengo la kuleta mawazo humu ni kuboresha utendaji na sio kuona nani ana akili au uwezo kuliko mwingine
 
Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana cv zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
We naye!!

Unafikiri Rais ni mungu? Anashauriw ni kitu cha kawaida na hii inathibitisha ubinadamu, ndio maana kagundua amekosea kasikiliza critics za umma na kufuatilia kwa kina CV ili kujiridhisha!!

Hata Magufuli licha ya kujipambanua kuwa mtu makini washauri wake walikuwa wanamuingiza chaka.

Tumshukuru anafuatilia home of great thinkers where we dare to talk openly!!
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.

Hayo majina analetewa
 
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikumbwa kwake...

Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...

Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko zaidi..
Kwanini makosa yasitokee, tumpe nafasi aisee, shida yenu vile ni mama ni rahisi ku point mistakes kirahisi
 
Rais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili

Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
anapokea bila kufanya scrutiny? unateua mtu shirika nyeti bila kupata CV yake? bila vetting? hajielewi huyo rais wako
 
Of course CV ya Tobias haiendeni na majukumu ya TPDC, bora angelikuwa Yusuph Nasir aliyekuwa Mbunge wa Korogwe.
Hata hivyo Matarajio yuko vizuri.
 
Huu ni uamuzi sahihi kufanywa katika wakati sahihi na Mhe. Rais.

Angalizo kwa Mhe Rais, awe makini sana na washauri wake hasa timu yake ya washauri na avunje kabisa kitengo cha VETTING TISS na kukiunda upya.

Hii ilikuwa ni aibu kwa Taifa. Yaani unamtoa Christiano Ronaldo unamuingiza Sapong????

Hongera Mama Samia kwa kuchukua hatua za haraka!

Well said my friend Lord denning 😍😍
Kitengo cha vetting kina watu wanataka kumhadaa na kuhujumu juhudi za Rais SSH

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Rest well our hero President John Pombe Magufuli
 
Rais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili

Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
Yes na vile wahuni walichomekeza sioni Cha kumlaumu wanataka raisi ndo awe anapitia majina wakati Wana work as a team
 
Sasa unatarajia yeye atamfahamu kila mteuliwa katika kipindi hichi kifupi? Lazima ategemee wasaidizi wake kumpa taarifa. Hata hao marais waliopita hawakuwafahamu wote kwa mara moja.

Mbona JPM alitengua uteuzi wa yule Naibu Waziri aliposhindwa kuapa?

Naona expectations zenu zimezidi mipaka tena.
 
...atengue na huyu jamaa wa tra, unamtoaje dr. Mhede pale? Kukuweka kidata? Kajiridhisha kwa nini kidata alitolewa pale na kuvuliwa ubalozi? Tena mhede unamtupa kabisa?
 
Back
Top Bottom