[emoji3][emoji3][emoji3] bachelor ya evening class chuo Cha YohanaMashirika nyeti hayo hayafai watu wa kusoma kwa kuunga unga, mara bachelor degree evening classes nk. Na exposure hana zaidi ya siasa zetu uchwara sijui uvccm sijui nn...
Kwani Jafo yupo Tamisemi?Sawa ila kwa staili yake hii ametengua wengi ambao hawana sifa binafsi naanza kumtoa Jaffo Tamisemi, pale TRA na Katibu Mkuu Wizara ya Afya.
Kwa kiasi fulani hapa asitetewe, tumpongeze kafanya maamuzi ya haraka kutengua ila kama anamwaga tu wino bila kupitia na kujiridhisha atakuja kutuuza kama nchi bila yeye kujua..Kwa hiyo alivyoletewa tu akamwaga wino bila kijiridhisha hadi wanajamii forums wamepiga kelele ndo kastuka!?
mfuate wewe seems ulikuwa muumini wake. Mimi kwangu sawa afe asife shauri yako na yeye. jiue umfuate blood foolduuh ushakuwa mtoto
Mataragio ni wa nani??
ashakufa japo alikuumiza, pole sana
He is gone, pambana na hali yako na familia yako
Hakuna jipya, kama alikata mirija ishaondoka pia,
We naye!!Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana cv zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Hiyo kazi alikuwa anafanya Magu....Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Kwanini makosa yasitokee, tumpe nafasi aisee, shida yenu vile ni mama ni rahisi ku point mistakes kirahisiKwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikumbwa kwake...
Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...
Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko zaidi..
Hii ni hatari, nilipoona CV ya mteuliwa nikaogopa.Kwa kiasi fulani hapa asitetewe, tumpongeze kafanya maamuzi ya haraka kutengua ila kama anamwaga tu wino bila kupitia na kujiridhisha atakuja kutuuza kama nchi bila yeye kujua..
anapokea bila kufanya scrutiny? unateua mtu shirika nyeti bila kupata CV yake? bila vetting? hajielewi huyo rais wakoRais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili
Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
Huu ni uamuzi sahihi kufanywa katika wakati sahihi na Mhe. Rais.
Angalizo kwa Mhe Rais, awe makini sana na washauri wake hasa timu yake ya washauri na avunje kabisa kitengo cha VETTING TISS na kukiunda upya.
Hii ilikuwa ni aibu kwa Taifa. Yaani unamtoa Christiano Ronaldo unamuingiza Sapong????
Hongera Mama Samia kwa kuchukua hatua za haraka!
Yes na vile wahuni walichomekeza sioni Cha kumlaumu wanataka raisi ndo awe anapitia majina wakati Wana work as a teamRais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili
Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
kwenye hilo Magu namkubali,kwanza sehemu nyeti hapeleki mtu asiyemjua binafsi,hata kama ni ndugu au upendeleoHiyo kazi alikuwa anafanya Magu....
kimtindo kama unamkumbuka Magu japo kwa sababu za kisiasa utabisha