Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Kama alivyosema mwenyewe, mtamkumbuka Magu. Hivi rais akivuruga mambo ya nchi bunge halina uwezo wa kumtimua?!
 
hapa sawa kabisa. N vetting was done. Ni kuteua kwa ushauri wa CCM, bado remnants za jiwe zinatake influence
Kwa asilimia kubwa ni panguapangua na kiini macho, ila watumishi wengi na walewale tu.
 
Rais ana nafasi nyingi sana za uteuzi.Ambao anaweza kuwafahamu ni wachache sana. Ndio maana iko haka kubwa ya kuwa na mfumo mpya wa kupata viongozi. Rais abaki kuteua mawaziri,mabalozi na wakuu wa vyombo vya usalama.
Tutazunguka sana, lakini mie nafikiri, dosari nyingi zitaendelea ku kutokea kutokana na katiba tuliyonayo,au sheria au mifumo yetu mibovu, km. Mamlaka za teuzi, vetting systems, nk. ambazo zitahitaji marekebisho in long run......
 
Kazi yake si ndo iyo kwa nini awe na papara? Yaani akose muda wa kupitia haya cv 40! Ina maana analetewa majina idadi kamili!! Maajabu sana
 
Bado Kidata.
TRA hapawezi huyu, Hana vision hiyo ya kutukusanyia matrilioni.
TRA anapaweza Bashe.
You can take these words to the bank.
 
Ana shida kubwa sana huyo jamaa
 
Tatizo ana haraka sana kuifumua serikali kama hakuwa Makamu wa Rais....Au anatuaminisha kuwa alipokuwa anasema wanashirikishana kwenye Teuzi wakati wa JPM haikuwa KWELI.
Umesahau siku ya mazishi ya hayati kuna mtu aliahidi mbele ya umati kuwa atakwenda kumuona ofisini?. Anazo sababu za msingi za kufanya hivyo
 
hata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
Naona anafanya Ili kupata attention ya watu. Mambo muhimu kama hayo ikitakiwa yaende taratibu,mpaka kufikia October angekuwa kamaliza kupachika watu wake,ila huku kukurupuka kwakwe atakuja kufeli.
 
yaaani mm mwenyewe namzidi. mtu hana international exposure, alipoenda mbali ni kufanya kazi UVCCM.
hii ilikuwa big mistake
Mimi nahisi watu walichomekea Hilo jina na CV yake isiyoeleweka ili kumharibia Raisi aisee kwa makusudi kabisa. Mazaa awe makini sana
 
Kuna zile shukran za ahsante Mungu kwa uteuzi huu. Hakujakucha vema unaambiwa yule mwenye uongozi wake anaendelea.... Jamani

Usishangae na aliyetenguliwa ghafla nae alipata kizunguzjngu cha ghafla na mapigo ya moyo kwenda Op.
 
Mimi nahisi watu walichomekea Hilo jina na CV yake isiyoeleweka ili kumharibia Raisi aisee kwa makusudi kabisa. Mazaa awe makini sana

Jamaa kawa boss kwa usiku mmoja🤣 waliopeleka jina nao washanyolewa bila maji💇‍♂️💇‍♀️

Binafsi bado nampongeza Rais SSH kwa maamuzi ya haraka na sahihi kutengua huo uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…