Shadiel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 305
- 167
Mama SSH ana huruma na utu, kiasi kwamba anashindwa kuifumua serikali na kuipanga team yake. Kiongozi wa aina hii ndio wa kukumbatia. Kiongozi asiyetaka kufukuzana kazi na kukomoana wakati wote ni watanzania. Kwa kila mzalendo na mwenye malengo mema na Nchi yetu, hapa Rais tumepata. Wote tunatakiwa tuwe team Samia, team Tanzania....Tumuungeni mkono Rais wetu