Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Mama SSH ana huruma na utu, kiasi kwamba anashindwa kuifumua serikali na kuipanga team yake. Kiongozi wa aina hii ndio wa kukumbatia. Kiongozi asiyetaka kufukuzana kazi na kukomoana wakati wote ni watanzania. Kwa kila mzalendo na mwenye malengo mema na Nchi yetu, hapa Rais tumepata. Wote tunatakiwa tuwe team Samia, team Tanzania....Tumuungeni mkono Rais wetu
 
Kwa hili mama anaonekana ni kivuli kuna wanaume wa shoka wapo nyuma yake wanamuongoza, since day one anaapa mama alionesha wazi viatu vya uraisi ni vikubwa kwake...

Mama hawezi fanya maamuzi ona sasa anaabika kisa teuzi ndogo ndogo kama hizi...

Halafu teuzi nyingi za mama ni za kimehumko na kimajungu zaidi..

Viatu vya uraisi sio vikubwa, ila tatizo linakuja kuwa anakosa ushawishi ndani ya system, (CCM + TISS), ndio mana kuna watu wanakua na nguvu Za kumpelekesha. Always uongozi unapoupata kwa mazingira kama yake unakua ni mgumu sana.
 
Mtu hana uzoefu wa kusimamia hata kituo cha mafuta leo hii mmpee aiongoze TPDC
Sijui nani alichomeka jina lake

Ova
 
We unauhakika gani kama anasomo upuuzi uliomo humu kamtengua kwa sababu zake anazijua mwenyewe wala usivimbe macho kwa madai eti kasoma madai ya watu wa jf.
Hao viongozi wamekuwa wakitumia nguvu nyingi kupambana na social media, wamekuwa wakitolea ufafanuzi juu ya tuhuma na tetesi zinazoibuliwa na social media.

Mara baada huyo jamaa alivyoteuliwa mitanzao (jf ikiwemo) wamepiga kelele kuhusu CV ya jamaa haiendani na nafasi aliyoteuliwa.

Serikali imetoa amri kwa makampuni ya simu kurudisha vifurushi vya zamani, je shinikizo lilitoka wapi? Uliona mtu anaandama kudai vifurushi vishushwe.?

Nikukumbushe kuwa tukio lililosababisha bendera zipepee nusu mlingoti lilianza kujadiliwa jf na social media nyingine na kulikuwa na watu kama wewe waliokuwa wanakaza ubongo.

Hao viongozi wako wanafanya maamuzi kisha wanakimbilia social media kuangalia mrejesho.

Nigga, don't try to underestimate the power of social media. Hizi sio zama za 'zidumu fikra za mwenyekiti'.
 
Panga pangua, labda huyu anajua kula na vigogo wenzake. I can’t believe kila siku tunaapishana what a joke! Panga pangua wakati wa maombolezo huo ni uafrika kweli? She was part of the leadership, so she never okd JPMs appointments? They couldn’t wait 21 days???
Obvious she is on direction against anything of the hero. But wanyonge told her she should do as the hero. Since when you change the winning team without consequences ?Seems someone has the remote somewhere.
 
Mapema mno. Asipokuwa makini ni giza mbele
 
Hahahaha

Kuwa MATAGA lazima akili ziwe zimelegea

Akili za mataga zimelegea ila kuna baadhi yao nati zimeachia kabisa, mfano kigwanomix [emoji23] aisee huyu jamaa ni kiboko kabisa. Alipokua hai jiwe alikua muumini wa nyungu, sa hizi jiwe ni mwenda zake anasema mashine za nyungu zibomolewe iletwe chanjo ya uviko [emoji23]. Shikamooni mataga [emoji119][emoji119]
 
Uvccm aliyemtishia Zitto Kabwe bungeni , kashtukiwa yumo kikosi cha wasiojulikana .
 
Duh hii inauma sana hata kiapo bado na ofisini haujakanyaja, unatenguliwa.
Kila la kheri bwana Mwesiga, maisha lazima yaendelee. Hili litapita tu.
 
Duh hii inauma sana hata kiapo bado na ofisini haujakanyaja, unatenguliwa.
Kila la kheri bwana Mwesiga, maisha lazima yaendelee. Hili litapita tu.
Sasa Mwesiga atarudi alikokuwa au? sababu kutangazwa kuwa unaenda mahali fulani maana yake nafasi yake iko wazi alikokuwa sasa kama ametangazwa kutenguliwa bandari maana yake kibarua hana kote

Sababu ikulu ilitakiwa itamke kuwa ametenguliwa kule na Raisi kamteua aendelee pale alipokuwa Sasa status ya Mwesigwa yake ikoje? Kesho aende kazini au alale nyumbani?
 
Hata sijaelewa kitu nilikua porini....Nini kinaendelea kwani?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Ile CV ilikuwa nyeupe ka unyoya wa kunguru aisee, Mara degree chuo Cha Yohana, hata huko udom, itakuwa alibebwa tu. Aliyefanya uhuni kupenyeza Hilo jina kumharibia Raisi afukuzwe aisee
Hahaha huo wasifu wake uko wapi?

Mama anaingizwa mkenge na washauri wake. Inaonekana wana-take advantage ya upole wake.
 
Back
Top Bottom