Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Wenye wivu na akili fupi tayari wameshaanzisha ubaguzi. Sisi watanganyika na wao wazanzibari, wenye maono kama taa ya baiskeli wameshaanzisha chokochoko wakitaka kuvunja muungano.

Usiku wa kuamkia tarehe 9 Desemba 1961 nchi hii iliwekwa chini ya uangalizi wa Mungu pale Saint Joseph, huwa mfarakano wowote ule wenye nia ya kuvunja Tanzania unakufa kifo cha kawaida kabisa.

..Disemba 9 ilizaliwa Tanganyika huru, sio Tanzania.

..Sio kwamba watu wanataka kuvunja muungano, bali kukandamiza Utanganyika / Watanganyika ni makosa.

..Kama Zanzibar ina Raisi basi Watanganyika nao wanastahili kuwa na Raisi. What is good for Zanzibaris must be good for Tanganyikans.

..Muungano ambao uko wazi kuhusu haki za Wazanzibari, lakini kimya kuhusu haki za Watanganyika, lazima utakuwa na malalamiko.
 
Tanganyika iko wapi? Mbona siioni kwenye ramani na Google Maps?
 
Jumla tutakua tunadaiwa trilion ngapi?
 
Back
Top Bottom