Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Ungekuwa wewe ungefanyaje? Unazijua kazi na majukumu ya katibu mkuu kwenye wizard?
Duh watz wajuaji sana. Sasa hizi si ndio hatua zenyewe jamani ??? Mlitaka Whitwell wanyongwe bila hata kusikilizwa
Acha mambo yako, wee ndio mjuaji ,Kuna watu wako chini ya Rais ,ambao yeye mwenyewe kwanza anatakiwa kuwawajibisha wakati sheria ikitokea nyuma.
 
Dunia inavisa sana , huyu Rais, kama yeye ni muoga ,siatupishe .

Kwann Urais uwe mtamu Kwa fahari na ulaji ,lkn yeye mwenyewe mzembe na muoga ?.


Kwa kauli hiii inamaana Hawa Mawaziri waloguswa na CAG, wataendelea kudunda tu vizuri
Inasikitisha sana mkuu 😭
 
FEDHA ZIRUDISHWE NDILO LA MSINGI ZAIDI WALIOKWIBA WABANWE WARUDISHE AIDHA WAANZE KUZIRUDISHA KUANZIA SASA,FEDHA HIZO ZINAHITAJIKA MNO!
 

Attachments

  • FB_IMG_1681024839543.jpg
    FB_IMG_1681024839543.jpg
    14.5 KB · Views: 2
Kazi imeanza......

, naamini safari hii hakuna atakaye salimika kama tu amehusika either moja kwa moja or indirect, au kazembea kutimiza wajibu wake au makosa yamefanywa na walio chini yake.
haiji kutokea kamweeeeeeeh
 
Rais Samia anaendelea kudhihirisha kwamba hakuna atakayebaki salama atakayechezea mali za umma. Tumezoea ripoti za CAG kila mwaka zinatoka lakini hakuna hatua za waziwazi zinachukuliwa, kwa mara ya kwanza Rais Samia anachukua hatua za waziwazi.

Rais Samia amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwaeleza Makatibu Wakuu wote wasome ripoti ya CAG na kujibu hoja zote na kuzifanyia kazi huku akiagiza Watendaji wote wabadhirifu na wazembe wachukuliwe hatua za haraka za kisheria mara moja.

SOURCE: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA IKULU MUDA HUU.
 

Attachments

  • FB_IMG_1681057575747.jpg
    FB_IMG_1681057575747.jpg
    84.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom