USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kilaza kama wewe huna lolote la maanaRais Samia anaendelea kudhihirisha kwamba hakuna atakayebaki salama atakayechezea mali za umma. Tumezoea ripoti za CAG kila mwaka zinatoka lakini hakuna hatua za waziwazi zinachukuliwa, kwa mara ya kwanza Rais Samia anachukua hatua za waziwazi.
Rais Samia amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwaeleza Makatibu Wakuu wote wasome ripoti ya CAG na kujibu hoja zote na kuzifanyia kazi huku akiagiza Watendaji wote wabadhirifu na wazembe wachukuliwe hatua za haraka za kisheria mara moja.
SOURCE: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA IKULU MUDA HUU.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app