Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Inashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe? yeye kama Rais anachukua hatua gani kwa hao wakuu waliosimamia huo uzembe?
Huu ni utawala wa sheria
 
Inashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe? yeye kama Rais anachukua hatua gani kwa hao wakuu waliosimamia huo uzembe?
Bado samia anakwepa zigo la kuonekana amewatumbua watu fulani hahaha! Shida anataka aonekane mwema papo hapo apambane na wabadhilifu……
 
Naona Sasa washaanza kuuona Moto wa kutafuna hela ya umma.. hapa Kuna watu hawalali vibarua vipo mashakani.... Mh Rais tupo pamoja nawe ubarikiwe
 
Screenshot_20230409-195222.png
 
Siyo kila hoja iliyoibuliwa na CAG ni ya ukweli hivyo zinahitaji uchunguzi na kutafutiwa majibu au maelezo sahihi!
Rudia tena!

Na bado raisi anaipokea taarifa isiyo ya kweli? Wewe ujue hivyo, mamlaka isijue chochote?

Kuwa serious basi!
 
Hatua anazochukua ni za kiuoga.
Sio tuu kiuoga bali ni kukwepa kuwajibika au kuwajibisha watu sasa anamtupia mzigo katibu mkuu wakati report iko wazi ilibidi aagize watu wasimame kazi kwanza au mawaziri watoke….sasa sijui anaogopa nini?
Shida ni kutaka kuonekana mwema kwa kila mtu au kutaka kuonekana kuwa yuko parfect
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Waliotenguliwa wanapata nafasi ya kutumbua mabilioni yao vizuri sasa!
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje? Unazijua kazi na majukumu ya katibu mkuu kwenye wizard?
Duh watz wajuaji sana. Sasa hizi si ndio hatua zenyewe jamani ??? Mlitaka Whitwell wanyongwe bila hata kusikilizwa
Mkuu watanzania we achana nao sio wat7 wenye akili nzuri kila mda kulalamika.wamesema humu oooh mama hachukui hatua kwa wabadhilifu. Sasa kaanza kuchukua washaamisha magoli Tena. Dah akyamungu watanzania alieturoga kashakufa.
 
Dunia inavisa sana , huyu Rais, kama yeye ni muoga ,siatupishe .

Kwann Urais uwe mtamu Kwa fahari na ulaji ,lkn yeye mwenyewe mzembe na muoga ?.


Kwa kauli hiii inamaana Hawa Mawaziri waloguswa na CAG, wataendelea kudunda tu vizuri
Uwe na subira unakimbilia wapi...mbona unaongea Kama mzee wa fitina makazini huko..huu ni utawala wa sheria hawezi mtu kutumbuliwa tu bila kujiridhisha na kuhusika kwake kwenye ufisadi... mwingine ni waziri lakini alishitaki mwenendo mbaya wa taass au shirika ambalo lipo ndani ya wizara yake je unataka nae afukuzwe kwa kosa lipi?
 
Rudia tena!

Na bado raisi anaipokea taarifa isiyo ya kweli? Wewe ujue hivyo, mamlaka isijue chochote?

Kuwa serious basi!
Ndiyo sababu taarifa hiyo imepelekwa bungeni ili ijadiliwe na pia watendaji wakuu wa sekta zilizotajwa waweze kutoa maelezo yao!
 
Toka Maktaba :

17 February 2023

BODI MPYA YA WAKURUGENZI TRC, WATANZANIA WAWE WAVUMILIVU NA MRADI WA SGR


PROF. KONDORO ATAMBULISHA WAJUMBE WAPYA BODI YA WAKURUGENZI TRC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Reli Tanzania Prof. John Wajanga Kondoro akiwa na wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TRC waliotambulishwa Bw. Benjamini Adam Mbimbi, Bw. Kondo Abdalah Kibugula, Bw. Joseph Elias Salema, Bw. Juma Samhando Kijavara na Bw. Peter Mayunga Noni wakipata maelezo.

Genge La Wahuni La TRC
 
Back
Top Bottom