Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Hii Nadhani unaongea Uhongo....Hivi Tundu Lissu alivyofanywa na utawala wa Ndugai na Mwendazake ni nini vile....Jamani Ndugai si ajinyamazie tu Maana aliyokuwa anayafanya Kwenye utawala Mbovu uliopita kila mtu anajua..
 
Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Mbona JPM hukumsema alishawahi kuteuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma alikuwa awe wa Mtwara na wa Mtwara Dodoma katika siku anaapisha akasema huyu wa Mtwara atakuwa Dodoma na yule ataenda Mtwara hakuna jipya katika hili.
 
Hata watu na Takukuru pia wanamshangaa Mkuu wa mhimili anavyokanyaga katiba

Huo ni mwendelezo wanamna yeye anavyoikanyaga KATIBA.

Hotuba zake haziakisi nafasi take na matendo yake.
 
Ndugai bado anaumwa na kama akisema kapona basi yale madawa aliyokuwa akitumia yameathiri mfumo mzima wa fahamu kipengele cha mshipa wa aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata watu na Takukuru pia wanamshangaa Mkuu wa mhimili anavyokanyaga katiba

Huo ni mwendelezo wanamna yeye anavyoikanyaga KATIBA.

Hotuba zake haziakisi nafasi take na matendo yake.ejisahahu
Amejisahau anaota anajua tuko awamu ya 5
 
Huyu huyu Nduga alihusika katika kufanya uonevu mkubwa sana dhidi ya lissu kwa kukataa uchunguzi wa shambulio lake, kuzuia malipo yake ya matibabu na kumpora Ubunge wake, halafu leo anataka kujifanya ni mtu mwema!
 
Wanadamu wazitooooo

Kule wanailaumu takukuru kwa kuwaonea watu..... huku wanamlaumu Ndugai kwa kusema takukuru wanaonea watu

Kweli ukiyastaajabu ya Musa utaona ya Firauni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yake
Hahahaha!!
Nakuona unavyolinda mtu asisemwe

Mkuu, mtu akiwa Raisi, hata majamaa yenye roho mbaya, bado ni yakwake, matukanaji pia, sasa naanza kukuonea huruma wewe, maana utatukana wangapi mkuu wenye mtazamo tofauti na wakwako?

Ukute wewe ndio toto la Mh....!!

Ni Bora usiingie humu, na ukome kuporomosha matusi hapa
 
TAKUKURU ichunguze gharama alizotumia Ndugai India na wananchi wapewe ripoti.

Kama wabunge wa upinzani walichunguzwa kwa michango yao ya hiari kwanini yeye asichunguzwe.
 
Reactions: BAK
Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Wewe na waliokuunga hoja yako mnateseka mkiwa wapi? Wewe uliwahi kujielewa kwenye Jambo gani la maana? Mtateseka Sana na umakini wa madame President kwani she is there to lead Tanzanians. Endeleani kujijaza upepo wa sumu vifuani Hadi mpasuke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…