Kihongosi hawezi kung'ara zaidi ... Style yake ilikuwa wakati wa utawala uliopita...Kafulila,Gambo na Kihongosi wote wana tabia zinazofanana (mbaya) watakaaje sehemu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihongosi hawezi kung'ara zaidi ... Style yake ilikuwa wakati wa utawala uliopita...Kafulila,Gambo na Kihongosi wote wana tabia zinazofanana (mbaya) watakaaje sehemu moja
Kwa hiyo Ndugai anataka kuwabiq Takukuru wasimpeleke mahakamani SABAYA!Ukistaajabu ya Biswalo utayaona ya Ndugai!
Mbona JPM hukumsema alishawahi kuteuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma alikuwa awe wa Mtwara na wa Mtwara Dodoma katika siku anaapisha akasema huyu wa Mtwara atakuwa Dodoma na yule ataenda Mtwara hakuna jipya katika hili.Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Ndugai bado anaumwa na kama akisema kapona basi yale madawa aliyokuwa akitumia yameathiri mfumo mzima wa fahamu kipengele cha mshipa wa aibuAkizungumza leo katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa ,
Spika wa Bunge la JMT, Mh. Job Ndugai, kwa masikitiko makubwa amesema (Nanukuu) ' kumekuwa na uonezi na maonezi makubwa Sana katika taasisi ya TAKUKURU, ni vizuri mkajiangalia upya, sisi ambao tunawakilisha wananchi tunaona, Si mahali pa kusemea lakini Waziri na wenzake watawasaidia kwa upande mwingine, Si vizuri kuonea watu, haipendezi hata kidogo' alisisitiza zaidi Bw. Job Ndugai!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndugai ni sawa na nyani asiyeona kunduleHata watu na Takukuru pia wanamshangaa Mkuu wa mhimili anavyokanyaga katiba
Huo ni mwendelezo wanamna yeye anavyoikanyaga KATIBA.
Hotuba zake haziakisi nafasi take na matendo yake.
Amejisahau anaota anajua tuko awamu ya 5Hata watu na Takukuru pia wanamshangaa Mkuu wa mhimili anavyokanyaga katiba
Huo ni mwendelezo wanamna yeye anavyoikanyaga KATIBA.
Hotuba zake haziakisi nafasi take na matendo yake.ejisahahu
Hahahaha!!Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yake
Yule jamaa mwanza ilimshindaRais SSH alijikwaa kidogo kwenye uteuzi Arusha.. alipaswa kumweka Mkuu wa Mkoa Mwandamizi, na ndivyo alivyorekebisha.. Bado Iringa..
Wewe na waliokuunga hoja yako mnateseka mkiwa wapi? Wewe uliwahi kujielewa kwenye Jambo gani la maana? Mtateseka Sana na umakini wa madame President kwani she is there to lead Tanzanians. Endeleani kujijaza upepo wa sumu vifuani Hadi mpasuke!Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Wewe unamatatizo binafsiHajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Kwahiyo mama yake kashindwa kwenda moja kwa moja kwa SASHA!?Mama yake kapeleka ombi kwa JK,then JK kamuomba SSH. Mambo yakaenda.
😀 😀 😀 😀 Trial and error method.Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.