Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulivyo field wewe.Mama yuko field Jaman , mwanzo mgumu atazoea tu
Umemaliza mjadala,umesema kweli tupu.Mbona Magu alimtumbua Waziri kwa kushikwa kigugumizi wakati wa kuapa!
Kinondoni nao ni Mkoa? Kati ya RAS na DC nani anamjukumu makubwa?
Vizuri kwa kutukumbushaAlichokifanya Samia kwa Mongella na Kafulila ndicho alichowahi kukifanya Magufuli kwa Christina Mdeme na Binilith Mahenge. Hivyo hili sio Jambo jipya kufanyika
To me Magu was the best president ever....
afanye mambo kama Magu na pengine awe mkali zaidi yake.....
ili watu wanyooke
Na wewe fani yako ni ipi.Mama fani yake Ni Travelling n touring
Hapana!
Mimi naomba ijirudie tena iwe mara mbili zaidi ili kuwakomesha mataga na sukuma gang
Hata awamu zilizopita,wapo walioteulia na kitenguliwa siku ya kuapishwa,wengine kwenye kuapishwa,walitenguliwa hapo hapo,wanaapishwa.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Wewe pia ni kiongozi nyumbani kwako,yako mengi unakosea,na kuyabadilishaNdio maana sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi, viongozi ni watu wa kipekee mno , ambao wako makini zaidi ya kila kitu wanachokifanya. Ukishindwa kufikia hiko kiwango cha umakini wa hali ya juu, Hapo ndipo watu wanaanza kutilia Shaka uongozi wako... kiongozi ukiwa na Tabia ya kukosea kosea kila siku , uongozi wako lazima utiliwe mashaka
Unauliza jibuKinondoni nao ni Mkoa? Kati ya RAS na DC nani anamjukumu makubwa?
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma amesema, "DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake" Asema Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa wajibu wa kuangalia maslahi ya Taifa
Spika Ndugai: Wakuu wa Mikoa msijione Marais
“Wapo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaamini kule waliko wao ni Marais, utasikia Mimi Rais wa Mkoa huu au Wilaya hii nani kasema?, Rais wa Nchi hii ni mmoja tu, Samia Suluhu Hassan, ukijivisha koti ambalo si lako matokeo yake unaweza kufanya mambo ukidhania wewe Rais”
Rais Samia afanya Mabadiliko teuzi za Wakuu wa Mikoa Arusha na Simiyu
John Mongella aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
David Kafulila ambaye awali aliteuliwa kuwa RC Arusha atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
“Kuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia
“Baada ya shughuli hizi za kuapishana na kupiga picha Wakuu wa Mikoa na Wateuliwa wengine mtarudi hapa na tutakuwa na kikao cha kazi kwahiyo kwasababu nina mambo mengi ya kuongea na nyinyi leo tuishie hapa tutakutana kwenye kikao cha kazi”
“Wote mlioapa na mlioteuliwa hongereni sana, nasema hongereni kwasababu Tanzania kuna Watu wengi na 15% wangefaa kuteuliwa lakini mmeteuliwa nyinyi, naamini mnapokwenda kufanya kazi zenu mtasimama na Mungu”
Sawa